BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,926
- 22,569
😀😀😀😀Niko zangu makiungu nakula bata hatareeeee ... ngulia mahangu bila wasiwasi.Rhode tu…
Kwingine hakufai, hata hapo Rhode ni tia maji tia maji. Ndio mji wetu tufanyaje sasa 😅
😀😀😀😀Niko zangu makiungu nakula bata hatareeeee ... ngulia mahangu bila wasiwasi.Rhode tu…
Kwingine hakufai, hata hapo Rhode ni tia maji tia maji. Ndio mji wetu tufanyaje sasa 😅
Nasikia kulikuwa kwa wahuni na wababe wote.Nina miaka mi4 sasa toka nianze kukaa Singida kwa story za mtaan pale kulikuwa na UHUNI wakila aina
Ndio kwetu huko mkuuKwa sasa wanapaita 24 ila pamepooza sana kuelekea kufa kabis ani sawa na sky way kule stand Mpya nako sifa zilikuwa nyingi sana siku nimefika pahovyo snaa
Vunja mifupa mkuu. Ila kuwa makini zamani bogi la mama Salma lilikuwa limemwagwa uhasibu.Singida mkoa mdogo sana kama unapemea amsha amsha utapachukia tu ila sie tusie na mambo mengi tunaenjoy sana weekend unashinda Mbalamwezi hadi saa3 hivi unaingia Ubungo unavunja kuku afu unaoogea Neq Narina Empire hapo ni uwezo wako tu kuna Wanyaturu/Wanyiramba/wambulu Grade A huwezo waona popote Pale
Isi rhimba bata isi nyonyi 😂😂😂😀😀😀😀Niko zangu makiungu nakula bata hatareeeee ... ngulia mahangu bila wasiwasi.
ReceivedAlaaaa! angalia msg za kawaida namba yako inayoishia na 20.
Uhasibu ndio Mitaa yangu sasa Mkabala na Chuo Cha Utumishi wamekihamishia Kule Kimpungua wamejenga majengo yao hapa kwasasa wanatumia chuo cha Maji Kampasi ya Singida kwabahati mbaya sana huwa sinaga mzuka na wanafunzi japo wanashawishi sana na kwasasa wamefunga pamepoozaNasikia kulikuwa kwa wahuni na wababe wote.
Ndio kwetu huko mkuu
Vunja mifupa mkuu. Ila kuwa makini zamani bogi la mama Salma lilikuwa limemwagwa uhasibu.
Home kijijini huko kwa Nyalandu ndani ndani.Uhasibu ndio Mitaa yangu sasa Mkabala na Chuo Cha Utumishi wamekihamishia Kule Kimpungua wamejenga majengo yao hapa kwasasa wanatumia chuo cha Maji Kampasi ya Singida kwabahati mbaya sana huwa sinaga mzuka na wanafunzi japo wanashawishi sana na kwasasa wamefunga pamepooza
Home ni wapi Kibaoni kwa WAHUNi
Karakana
Muhawa
Mungumaji
Minga
Mwenge
DR Salmin
Majengo
Au huku kijijini kwetu Unyinga, Unyakumi, Unyankahe, mandewa
Au ndio wa Unyamikumbi Siuyu Makiungu!?
Kama unaenda Mtipa sijui unapajua, Ukitoka Kambi ya FFU Singida kwa mbele sasa ndio hapo wamedesign vizuri japo padogo ila panavutia weekend huwa pazuri sanaHome kijijini huko kwa Nyalandu ndani ndani.
Hivi mbalamwezi ni wapi?
Uko vizuriNina miaka mi4 sasa toka nianze kukaa Singida kwa story za mtaan pale kulikuwa na UHUNI wakila aina
Kwa sasa wanapaita 24 ila pamepooza sana kuelekea kufa kabis ani sawa na sky way kule stand Mpya nako sifa zilikuwa nyingi sana siku nimefika pahovyo snaa
Singida mkoa mdogo sana kama unapemea amsha amsha utapachukia tu ila sie tusie na mambo mengi tunaenjoy sana weekend unashinda Mbalamwezi hadi saa3 hivi unaingia Ubungo unavunja kuku afu unaoogea Neq Narina Empire hapo ni uwezo wako tu kuna Wanyaturu/Wanyiramba/wambulu Grade A huwezo waona popote Pale
MtukuruWewe mzee sasa Siuyu anafata matogho au nini Mzee 😂, nimepita snaa kuelekea Makiungu