allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 850
- 2,616
Nyokaa na Rwezaura kuku
😅😅 nyoka tulikuwa tunamalizia rhode pakichoka watu wana hama kama kumbi kumbiNyokaaa atakabwa 😂
I have my childhood friends wananihadithiaga mambo ya nyokaaa looh
Nyokaa na Rwezaura kuku
😅😅 nyoka tulikuwa tunamalizia rhode pakichoka watu wana hama kama kumbi kumbiNyokaaa atakabwa 😂
I have my childhood friends wananihadithiaga mambo ya nyokaaa looh
Sijawahi kwenda ila story zake zilinichekesha sana.. Mnabanana balaa nasikia.😅😅 nyoka tulikuwa tunamalizia rhode pakichoka watu wana hama kama kumbi kumbi
Sasa nisagie kunguni nyumbani?Acha kutusagia kunguni!
😅😅
Nyokaa watu second hand ndio wapo mle 😅😅Sijawahi kwenda ila story zake zilinichekesha sana.. Mnabanana balaa nasikia.
Mimi nimeenda 2024, nilienda ardhi singida pale,Nikapita kwa rafiki yangu dukani akanipa gauni nikavaa kuingia ofisi za serikali, nilivyotoka nikarudi dukani kwa rafiki yangu kurudisha gauni, ilikuwa jioni akaniambia baki nalo, tukazuga zuga dukani hadi saa mbili tukaenda ubungo kula kuku then tukakusanyana wote wamarafiki tuliocheza rede pamoja, tukazana Rhode it was funny vibe la watu mnaojuana ila kiukweli ni pabaya 😂😂Rhode ilikuwa kipindi imefunguliwa, hadi 2020 mwisho ila baada ya hapo imekufaaa hamna kitu, last time napita saa kumi alfajiri kama msibani
😂😂😂😂😂 Dah!Nyokaa watu second hand ndio wapo mle 😅😅
Popo mnakesha.Rhode walikuwa wenye nafuu ya maisha, ila sasa unakuta mtu akishindwa gharama za Rhode anakimbilia kule, so unakuta mademu wakali wana hamisha tu upepooo.. unashangaa hii hapa saa moja asubuhi au saa mbali , alafu mda huo unatakiwa Arusha au Mwanza .. aiseee miaka irudi nyuma
Lazima lazima!Sasa nisagie kunguni nyumbani?
Aaah ila Singida 😆 nipo zangu na watoto najigamba home City na nini, kijana wako akasema it is like a big village.
Kwa hiyo rhode napo nikubaya .Nitaenda nishuhudie kwa macho yangu.Mimi nimeenda 2024, nilienda ardhi singida pale,Nikapita kwa rafiki yangu dukani akanipa gauni nikavaa kuingia ofisi za serikali, nilivyotoka nikarudi dukani kwa rafiki yangu kurudisha gauni, ilikuwa jioni akaniambia baki nalo, tukazuga zuga dukani hadi saa mbili tukaenda ubungo kula kuku then tukakusanyana wote wamarafiki tuliocheza rede pamoja, tukazana Rhode it was funny vibe la watu mnaojuana ila kiukweli ni pabaya 😂😂
Nimerudi home karibu na alfajiri na mgauni kama wa kanisani bi mkubwa ananiuliza vipi na huo mgauni, nikakwambia ungejua nilikuwa nakata nao viuno 😅😅
Kivyetu vyetu fresh tu,Kwa hiyo rhode napo nikubaya .Nitaenda nishuhudie kwa macho yangu.
2024 ilikuwa imeisha chokaaaa, 2020 kushuka chini palikuwa kwa singida pa moto, kuna siku nilichukiaa pale nikanunualia nusu ya ukumbia bear hadi walikimbiaaa 😅😅😅😅😅Mimi nimeenda 2024, nilienda ardhi singida pale,Nikapita kwa rafiki yangu dukani akanipa gauni nikavaa kuingia ofisi za serikali, nilivyotoka nikarudi dukani kwa rafiki yangu kurudisha gauni, ilikuwa jioni akaniambia baki nalo, tukazuga zuga dukani hadi saa mbili tukaenda ubungo kula kuku then tukakusanyana wote wamarafiki tuliocheza rede pamoja, tukazana Rhode it was funny vibe la watu mnaojuana ila kiukweli ni pabaya 😂😂
Nimerudi home karibu na alfajiri na mgauni kama wa kanisani bi mkubwa ananiuliza vipi na huo mgauni, nikakwambia ungejua nilikuwa nakata nao viuno 😅😅
Naenda kula kuku huko kama sio kesho usiku, keshokutwa Inshallah. Kisha ntarudi Dar kula bata.Lazima lazima!
Hadi raha, mimi hadi Dezemba.Naenda kula kuku huko kama sio kesho usiku, keshokutwa Inshallah. Kisha ntarudi Dar kula bata.
Wanaume mna maisha yenu kwa kweli, mimi nikifanya hivyo ujue kesho ntakuwa teja.😅😅 kukesha sidhani kama nitaacha , unasema unaacha kukesha kwenye mabata. ,unaingia kwenye mikesha ya kazi..
Zamani kuna ile natoka Arusha na chuma nategeshe naingia sehemu night kali moja kwa moja kwenye vibe, hadi saa mbili asubuhi unatoka, unakula supu unaingia kazi, unaosha macho unatoka kazini saa kumi jioni unaenda unalala masaa mawili au matatu umeamshwa mnalinzisha vibe
Boda na kuku wapi na wapi bwanaweee, toa maelekezo kamili.Hadi raha, mimi hadi Dezemba.
Umtume boda kwetu kuku wawili tu 😊
Asante kwa kukubali ombi langu! 🤣
Lols 😂Boda na kuku wapi na wapi bwanaweee, toa maelekezo kamili.
Yanga tunacheza, tupo pungufu na tunapelekeshwa balaa...
Hivyo unapotoa maelekezo, hakikisha yamenyooka
Sema sasa nikuletee kuku, uko wapi kwanza?Lols 😂
Nikikwambia uende hautaenda, mambo yako ni kufumba na kufumbua uko Dar.
Umtumie mama, Mwenge tu hapo bonite. Ulidhani unaniletea mimi?Sema sasa nikuletee kuku, uko wapi kwanza?
Niko liwale, wiki ya pili sasa.Haukawii kunibebesha kuku bila kujua nawapeleka wapi.
Kwanini upate utulivu? Tulia uteseke 😀Tukiweka makhara pembeni, Singida mtu ukitaka sehemu ya utulivu ni wapi?
Umtumie mama, Mwenge tu hapo bonite. Ulidhani unaniletea mimi?
Niko liwale, wiki ya pili sasa.
Kwanini upate utulivu? Tulia uteseke 😀