Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Habarini ndugu.

Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja

Natanguliza shukran.
😅😅 Ukweli kipindi cha Singida miaka ya nyuma kidogo nilikuwa nashinda Regency hotel, usiku enzi hiyo Rode ndio imezinduliwa naenda pale nachukua kuku wa kienyeji machoma nyama nakula DD
 
Back
Top Bottom