Kikubwa Pumzi
Member
- Jul 25, 2025
- 83
- 182
Natafuta sehemu nzuri ya kwenda weekend na demu wangu—pawe na bia baridi, muziki mzuri na vibe nzuri, lakini sio sehemu ya kelele za kupitiliza au vibe la “kitambaa cheupe” 😂.
Vigezo vyangu:
Kwa kifupi natafuta middle-class, mature, clean & chilled vibe — sehemu ambayo unaweza kunywa bia 2–3, kusikiliza muziki, kuongea na mtu wako na bado ukapata vibe.
Watu wa Dar wanaojua sehemu nzuri, nipeni suggestions.
Taja sehemu + eneo + siku nzuri ya kwenda kama unaijua.
Naomba recommendations za sehemu mnazojua kweli, sio zile za kusikia kwa mtu. 😄🍻
Vigezo vyangu:
- 🍺 Bia iwe around TSh 3,000 — bei za kizalendo, sio 8k/10k+ kwa chupa.
- 🎶 Muziki mzuri — Bongo Flava, R&B, old school, reggae, live band etc.
- 👌 Watu wastaarabu, wanaojielewa na mazingira safi.
- 😎 Vibe liwepo, lakini sio Gen Z sana wala club ya kupiga kelele tu.
- ❤️ Niwe comfortable kwenda na demu wangu; sehemu iwe na atmosphere nzuri ya couple.
- 🌃 Madhari/ambience nzuri, seating nzuri na huduma reasonable.
- 💰 Sio lazima iwe cheap kupita kiasi, ila isiwe sehemu ya “kujionesha” kwa bei.