Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

Lala tu mkuu igunga kunazidiwa na mitaa ya buza hapo kidogo tu upo pori labda usogee shelui
 

Attachments

  • IMG_20260523_222306.jpg
    IMG_20260523_222306.jpg
    302.4 KB · Views: 14
umevaa gwanda rangi gani? Nipo hapa mlangoni nimepiga viatu black,suruali black,shart na miwani black nipokee. Nitakutambuaje?
Sogea kwenye hii gari nyeusi hapa ndani ya geti
 
Habarini ndugu.

Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .

Natanguliza shukran.
Igunga kuna bar na groceries zilizochangamka tu
 
Back
Top Bottom