Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Hata uwe umezaliwa na kulelewa Dar kuna maeneo mpaka unakufa hautakuwa umeenda

Kwa mfano wakazi wa Dar tuliozaliwa na kukulia upande wa Kaskazini wa Dar kuna maeneo mengine ya upande wa Kusini mwa Dar hatujawahi kufika japo tunayasikia

Sehemu ukiwa hauna mishe nayo ni ngumu kufika.
Kuna Jamaa Yangu Kazaliwa Dar Na Hajawahi toka Dar Anasema Hajawahi fika Buza Na Hata gari za Kwenda Huko Hazijui vizuri anaona Tu zinapita Barabarani
 
Kwa nini Nifike Na Sina Issue Huko Hakuna Ushua Wowote Hapa
Zamani nikiwa Mdogo ilikuwa lazima twende sabasaba, nilipokuwa nikaona ujinga mtupu.

Miaka 7 iliyopita nilikuwa na kampuni anafanya nayo kazi ilikuwa lazima twende sabasaba kama study tour, tangu mwaka huo mpaka leo sijakanyaga Saba saba.

Mshkaji wangu mmoja very close amekulia Haile selasie road oysterbay lakini mpaka leo hana mpango wala hajawahi kuingia wavuvi camp.

Kila mtu ana priorities zake.
 
Kama bei nzuri unanunua kama akiba au kitega uchumi, lakini kuishi kule mmm hata mie napendelea njia ya huku Moro lakini huko labda shamba, ila Tz unaishi popote hata kinyonge tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kule ukinunua basi hela yako ni kama haitorushisha faida kubwa
Kibaha kila siku bei inaongezeka
 
Kibaha ndiyo kwenyewe

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Morogoro road ni sehemu sahihi ya kununua kiwanja nahisi Kutokana na Barabara ile kubwa ndo inaikuza kibaha,mlandizi ,chalinze ardhi Ina bei Sana .

Tofauti na njia ya lindi na huko kisarawe namaanisha chanika..,,kunaendelea kwa mbinde sana
 
Zamani nikiwa Mdogo ilikuwa lazima twende sabasaba, nilipokuwa nikaona ujinga mtupu.

Miaka 7 iliyopita nilikuwa na kampuni anafanya nayo kazi ilikuwa lazima twende sabasaba kama study tour, tangu mwaka huo mpaka leo sijakanyaga Saba saba.

Mshkaji wangu mmoja very close amekulia Haile selasie road oysterbay lakini mpaka leo hana mpango wala hajawahi kuingia wavuvi camp.

Kila mtu ana priorities zake.
Ila wavuvi lazima aifahamu atakuwa anapita akienda coco beach
 
Morogoro road ni sehemu sahihi ya kununua kiwanja nahisi Kutokana na Barabara ile kubwa ndo inaikuza kibaha,mlandizi ,chalinze ardhi Ina bei Sana .

Tofauti na njia ya lindi na huko kisarawe namaanisha chanika..,,kunaendelea kwa mbinde sana
Tutafanya liwe zizi lakufugia mifugo maana kumetulia sana

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom