Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,615
- 2,265
Aisee, we kweli umvivu wakutembea!KWA MPALANGE
Aisee, we kweli umvivu wakutembea!KWA MPALANGE
Tafadhali mkuu,tuombe radhi wakazi wa Bonyokwa.King'ongo, Kilungule, Bonyokwa, kwa Mama Stella na vyumba vinane maeneo ya hovyo kule Kimara
Sehemu gani ya maana Bonyokwa mkuu?Tafadhali mkuu,tuombe radhi wakazi wa Bonyokwa.
Yaani Bonyokwa ni mtaa wa hovyo,!? Ulitembelea mwaka gani!?
Kwa Kapero, kwa Kichwa, vyumba vi8 kote pa hovyo. Barabara mbovu usafiri duniTafadhali mkuu,tuombe radhi wakazi wa Bonyokwa.
Yaani Bonyokwa ni mtaa wa hovyo,!? Ulitembelea mwaka gani!?
Kibwegere umefikaAisee nimekatiza karibia kila mahali hapo mjini labda kisarawe huko msituni kazimzumbwi ingawa nilikaribia.
Kule mbali sana sijui ni ni mkoa gani kulesijafika chanika
ni mkoa wa pwanjKule mbali sana sijui ni ni mkoa gani kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila usafiri mwingi sana kwa mara yakwanza nimefika juzi. Japo sikufika mwisho kabisa.ni mkoa wa pwanj
Kuna jamaa alikuwanna mzigo wangu kwa chanika kwa singa huko nikamwagiza bodaboda jamaa alilalamika sana japo namlipa hela nzuri
Umeenda kucheki kiwanja nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila usafiri mwingi sana kwa mara yakwanza nimefika juzi.
Huyo ni sawa na Professor Severine Rugumamu wa DS pale UDSM aliyesema ukiona gari lake Manzese ukaripoti Polisi litakuwa limeibiwa tu hiloMwalimu wangu wa udsm aliwahi kuniambia hawezi kufika Mbagala kwa sababu hakuna kitu cha kumpeleka huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Huyo ni sawa na Professor Severine Rugumamu wa DS pale UDSM aliyesema ukiona gari lake Manzese ukaripoti Polisi litakuwa limeibiwa tu hilo
Hayo ni mawazo yake yeye, sasa amua mwenyewe akili ya kuambiwa au kuchanganya na yakoMwalimu wangu wa udsm aliwahi kuniambia hawezi kufika Mbagala kwa sababu hakuna kitu cha kumpeleka huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
ChanikaZa jioni
Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.
Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?
Mbopo napasikia.
Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.
Kijichi.
Kivule.
Nafikiri kuna kituo kabisa kinaitwa kwa MringoKwa mringo unashuka kituo gani?
Haya nikiumwa nitaendaUkianza kuumwa tezi dume
Wanaoshusha mikaa kwenye magari huwa wanaongoza kufika maeneo mengi ingawa ni kweli hawawezi kufika kila eneo.Dar kubwa sana, sidhani kama kuna mtu ashawahi kufika kila kitongoji...