Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,119
- 2,365
Kinzudi usukumaniSijafika maramba mawili, kifuru, chamazi, kivule, chanika, goba kulangwa, kidzudi
Kinzudi usukumaniSijafika maramba mawili, kifuru, chamazi, kivule, chanika, goba kulangwa, kidzudi
Unapafahamu mti pesa?Dar Hakuna nisipo pafahamu
Kwa kifupi tu haupo Dar, zamani hizo ndio sehemu za kupata huduma za kiserikali na kijamii.Mm nipo DSM tng 1964 na sijawahi kufika POSTA... Kkoo... Lumumba...
Za jioni
Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.
Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?
Mbopo napasikia.
Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.
Kijichi.
Kivule.
Sijawahi kuingia ikulu ya Dar es Salaam.Za jioni
Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.
Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?
Mbopo napasikia.
Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.
Kijichi.
Kivule.
Kuna hii naisikia inaitwa ZingiziwaZa jioni
Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.
Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?
Mbopo napasikia.
Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.
Kijichi.
Kivule.
Unakataa kivipi? Labda ni Tax driverMUONGO
Wee Ni mwongo[emoji4]Mimi nimefika kata zote. Dar es salaam.
Hauko serious mkuu[emoji4]Bandarini sijawahi fika.
Wavuvi camp pako overrated sana[emoji4]Bia elf 7/8
Mwachiluwi mpe mwongozo
Aisee pambana ufike madale...utashangaa sanaMadale, magwepande, kwa mpalange[emoji4]
Napaskia TUAisee pambana ufike madale...utashangaa sana
Kalege siyo Bagamoyo?.Pia sijafika kalege, vingunguti (machinjioni) na Buguruni (mqundu buku)