DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Nmefanya biashara k'koo mwaka wa 13 Sasa ila Kuna mitaa ndani ya k'koo bado siijui vizuri
Kuna mtaa flan nyuma ya bigBon
wanauza spea used za magari
Kuna vibanda vdg vdg vimebanana Sana havina majina Wala namba nilipelekwa kuonyeshwa spea
AISEE niliingizwa umo nikasahau nilikotokea ikabd Kupiga Simu jamaa anifate[emoji28]