Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Dar kubwa sana, sidhani kama kuna mtu ashawahi kufika kila kitongoji...
Kwa eneo, Dar ni ndogo sana..!! Ndo mkoa pekee ambao kutoka makao makuu ya wilaya zake zote, moja kwenda nyingine, hukatizi msitu/misitu. Embu waza mtu anayetoka wilaya ya Songea mjini anakwenda Mbinga au Tunduru...!! Au mtu anatoka Kaliuwa anakwenda Urambo..!!
 
Jiji la na sio mkoa, kama ni mkoa basi ningetaja mikoa kama Lindi au Tabora
 
Za jioni

Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.

Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?

Mbopo napasikia.

Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.

Kijichi.

Kivule.
Stendi ya Magufuri😁
 
Kwa kazi yangu kipindi cha nyuma nimefika kote ushuani, uswshili kasoro mabwepande pekee
 
Yeah kama unataka kununua kule ni sahihi
Ingawa binafsi napendelea njia hii ya kibaha zaidi
Kama bei nzuri unanunua kama akiba au kitega uchumi, lakini kuishi kule mmm hata mie napendelea njia ya huku Moro lakini huko labda shamba, ila Tz unaishi popote hata kinyonge tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom