Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Actually kama umeielewa sijamponda
i simply said awe makini..thats all
sijasema kuwa hayupo vizuri kitaaluma
Hivi huyo Sebo ndo nani? Ni Mtanzania?
Actually kama umeielewa sijamponda
i simply said awe makini..thats all
sijasema kuwa hayupo vizuri kitaaluma
Hivi huyo Sebo ndo nani? Ni Mtanzania?
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.
Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
Food posoning unajua maana yake wewe au unatamka tu ili uonekane unachangia jukwaani,food posoning hata Serena ipo kwa sana, juzi tulikuwa na mkutano Hotel ya Sea cliff wana restaurant yao maarufu inaitwa Karambezi washiriki wote 17 wa mkutano tuliokula pale wote tulikuwa tunajamba balaa

Mnatoka na minyoo yenu makwenu mnaenda kusingizia food poisoning za kijiwe chetu! Have you tried their pancakes and mishkaki? The best ever!
Boss ina maana hao jamaa wana visasi na wao eeh?Sebo ahakikishe vibali vyote vya kuishi nchini viko safi
unless otherwise .............
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.
Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
huna jipyaa! Cjui we KE au ME! Utajijuuu! ''Team anakonda''
I ain't got time nor desire to try her shitty food.
Boss ina maana hao jamaa wana visasi na wao eeh?
Hahahaha. But you got ample time to go parading bout their disagreements? Ya so funny hehehe
anaropoka ropoka hajui kabisa
watu anao deal nao
zamani alipokuwa under ipp alikuwa safe
now yupo Kampuni ambayo sio powerful that much
bora asingejihusha na haya
sebo ahakikishe vibali vyote vya kuishi nchini viko safi
unless otherwise .............
Alikuwa mganda tv and radio presenter
zamani alikuwa eatv alikuwa ndo meneja wa tv
now nasikia ni manager wa magic fm
Hicho ki Jay Dee kiombwe radhi kwa minajili ipi? Chenyewe hicho kimwanamke kinachotakiwa kufanya ni kuachana na dhana ya entitlement na kuanza kuwatendea vizuri waajiriwa wake hapo kwenye hicho kimgahawa chake uchwara.
Kwanza chakula cha kwenye hicho kimgahawa ni kichafu balaa. Watu kadhaa washapata food poisoning kwa kula chakula chake.
Mkuu mbona we unajihusisha?
duh sometimes unaongeaga hivi kumbe mkuu, I didn't expect to hear this from u!!!