Say no to CHAPUTA

Say no to CHAPUTA

Joined
Dec 4, 2016
Posts
62
Reaction score
54
Ni jambo la kujipongeza sana nimeondoka CHAPUTA tangu September mwaka huu na sijarudi tena, Ee Mola naomba aniwezeshe niache kabisa ujinga huu niliouanza tangu 2009, unaaibisha sana, kwa wale ambao bado mnaendelea tujitahidi sana kuacha inawezekana "SAY NO TO CHAPUTA", ila pilau ndo nimeshindwa kuacha kuangalia ila nayo kufikia mwaka mpya naamini nitakua nimepiga hatua, tuombeane wandugu.

Karibu wenye shuhuda mbalimbali za kuacha tupeane inspiration, pia tuelekezane jinsi ya kurudisha nguvu na confidence.

KUACHA INAWEZEKANA
 
Ni jambo la kujipongeza sana nimeondoka CHAPUTA tangu september mwaka huu na sijarudi tena, ee naomba mola aniwezeshe niache kabisa ujinga huu niliouanza tangu 2009, unaaibisha sana, kwa wale ambao bado mnaendelea tujitahidi sana kuacha inawezekana "SAY NO TO CHAPUTA", ila pilau ndo nimeshindwa kuacha kuangalia ila nayo kufikia mwaka mpya naamini ntakua nimepiga hatua tuombeane wandugu, karibu wenye shuhuda mbalimbali za kuacha tupeane inspiration, pia tuelekezane jinsi ya kurudisha nguvu na confidence.
KUACHA INAWEZEKANA
Unashindwa kuacha kuangalia unaishi na nani?
Umeajiriwa?
Hua unakua na free time kubwa sana?
Una mpenzi?
 
Unashindwa kuacha kuangalia unaishi na nani?
Umeajiriwa?
Hua unakua na free time kubwa sana?
Una mpenzi?
1.Naishi peke angu
2.Nasoma
3.Free time ni ndogo sana ila naitumia hiyohiyo
4.Sina mpenzi kutokana na woga kwani nilishapata perfomance anxiety nikashindwa kusimamisha nikiwa geto na dem mpaka leo sijarudia.
 
kuacha CHAPUTA huku unaangalia PORNO ni sawa na kusema mpishi kafunga muda wowote utaonja tu
Asanteni kwa ushauri, najitahidi kupunguza kwa kweli ili mwisho niache kabisa, kuna mda najiskia kuzidownload tu ila hata siziangalii yani nadownload hata 8 hv then naangalia kidogo moja hata dk1 af nafuta zote.. yani hivi vitu unakua kama chizi aisee
Kama huna demu apo upo likizo tu mida ukiisha utarudi job kwa hali mpya nguvu mpya na kasi ya ajabu , ushauri hachana na kuangalia yale mambo ya wakubwa yanakumaliza kisaikolojia
 
NYONGEZA: Kwa siku hizo chache nilizoacha kupiga nimeona mabdiliko mazuri, uume unasimama vizuri naikiamka asubuhi kitu ambacho kilikua adimu kwangu enzi hizo, naamini na zoezi la kuacha porn likikamilika hali itakua nzuri zaidi, pia napiga vizoezi kidogo asubuhi kabla ya kuwahi daladala push ups 50,squats 50 ,kata tumbo 30 hivi , pia lile la kulala chali na kurusha miguu juu na chini kama mara 30 hivi, tuacheni punyeto jamani ndugu zangu, tuacheee...!!! madhara yapo ingawa sio kwa wote
 
1.Naishi peke angu
2.Nasoma
3.Free time ni ndogo sana ila naitumia hiyohiyo
4.Sina mpenzi kutokana na woga kwani nilishapata perfomance anxiety nikashindwa kusimamisha nikiwa geto na dem mpaka leo sijarudia.

1: Tafuta mtu uishi naye awe wa kushare naye gharama za chumba (kama unaishi nyumbani mkaribishe kama rafiki).

3: Free time unayoipata jipatie shughuli ya kufanya, kama una laptop tafuta software ya FL ujifunze kutengeneza beats au ya kuedit video, hiyo free time itumie hivyo. Kama unajua home exercises zifanye.

4: Mimi nina sifa zote za kutopendwa na msichana lakini kinachoniongoza ni kua cool na kua relaxed nikiwa mbele ya msichana, huwezi kua cool or funny? Or both?
 
NYONGEZA: Kwa siku hizo chache nilizoacha kupiga nimeona mabdiliko mazuri, uume unasimama vizuri naikiamka asubuhi kitu ambacho kilikua adimu kwangu enzi hizo, naamini na zoezi la kuacha porn likikamilika hali itakua nzuri zaidi, pia napiga vizoezi kidogo asubuhi kabla ya kuwahi daladala push ups 50,squats 50 ,kata tumbo 30 hivi , pia lile la kulala chali na kurusha miguu juu na chini kama mara 30 hivi, tuacheni punyeto jamani ndugu zangu, tuacheee...!!! madhara yapo ingawa sio kwa wote
Hayo mazoezi yahamishie katika hiyo free time ya kuangalia porn, kama unatumia simu kuangalia porn gawa hizo earphones, pandisha sauti ya device yako kua juu mpaka mwisho kisha ng'oa hizo button za kuongeza na kupunguza sauti.
 
Punyeto HAIWEZI ikakupunguzia nguvu za kupiga mjeredi!Matter of fact punyeto inasaidia kuimarisha misuli ya dushelele na unakuwa na perfomance nzuri sana
Nina watoto 7 mama tofauti na sometimes kama nimekosa windo napiga punyeto toka nikiwa na miaka 16 hadi leo nawajukuu
Ww una ishu zingine tu aisee sio ngunga
 
Ukipata kazi hayo utayaacha maana wanawake watakufata wengi na utakosa muda wa kuangalia porn.
Pia utajikuta na aibu ya kutunza porn kwenye laptop yako ama simu yako.
CHAPUTA wengi na wanafunzi na jobless people. Pole sana . Ebu jaribu kuwa busy na tafuta demu utabadili tabia, acha ubabe wa kuwa single boy.
 
Jobless eeh? Yule waziri aliyepiga punyeto ofisini akafukuzwa anawakilisha wafanyakazi wote ambao ni wapiga puchu wazuri tu ila wamejificha kwenye suti na tai.
 
Asanteni wote kwa ushauri, nawafatilia vizuri.. kuhusu kutafuta dem shida ni kuwa bado nina wasiwasi na perfomance yangu niasije kuaibika
 
Punyeto HAIWEZI ikakupunguzia nguvu za kupiga mjeredi!Matter of fact punyeto inasaidia kuimarisha misuli ya dushelele na unakuwa na perfomance nzuri sana
Nina watoto 7 mama tofauti na sometimes kama nimekosa windo napiga punyeto toka nikiwa na miaka 16 hadi leo nawajukuu
Ww una ishu zingine tu aisee sio ngunga
Mimi nina ushahidi maana nilipiga mpaka mashine ikawa inesinyaa kama ya mtoto
 
Asanteni wote kwa ushauri, nawafatilia vizuri.. kuhusu kutafuta dem shida ni kuwa bado nina wasiwasi na perfomance yangu niasije kuaibika
Mkuu Jaribu kutafuta demu kidogo kidogo utazoea Kwani practice make perfect, mimi bwana juzi nimeabika pia mtoto kaja gheto usiku nikamwandaa fresh akalainika hatari Ile kuingiza dushe tu wazungu hao na ngoma ikanywea na usingizi hapo hapo, nilijiona mzembe wa hali ya juu, mimi niliacha kupiga nyeto kwa mwaka mzima ila nikawa nachk porn kwa mwezi mara moja huku nikiwa sina demu, lakini cha ajabu mwezi wa kumi na moja nikaanza tena kunyetuka kwa wiki mara moja au mbili, sasa juzi si ndio nikapata demu nikaishia kuabika tu, lakini sitokata tamaa, najua nitakua sawa tu, jamani wale waliopona watupe shuhuda ase maana hii kitu inaumiza sana
 
Chama la wana hilo.mbona unawashauri watu ujingaa?kipi bora.kwenda kwa malaya,kuwa na demu alafu hakusumbua,au kuwa chama LA wanaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom