Say no to CHAPUTA

Say no to CHAPUTA

Ex member hapa nimeachana na chama.. Nilikuwa nimeshindikana 1tb ya external imejaa kisa zile HD porn za kila aina, kwangu zilikuwa kama chakula naziwaza tu kila siku.

Ilikuwa kila siku na jaribu kuacha lakini nashindwa. Mpaka nikakuta kikundi flani online reddit kinaitwa Nofap. Aisee kupitia story zao na support yao nikaweza kuacha; miezi 3 ya Mwanzo ilikuwa migumu lakini sasa nimeshasahau porn nimefuta, site zile zitii miguu tena.

Sasa hivi nipo kwenye harakati za kupata kademu ananizungusha wee lakini wapi mpaka kitaelewaka. Maana ile ilinifanya nione mademu hawafai.Nimepoteza nafasi nyingi sana hadi zile za demu kajileta mwenyewe nampotezea sababu ya puli

Na usiogope Acha kabisa puli pamoja na porn kwa muda wa siku 90.. Nakuhakikishia Confidence, sauti yako ya kiume itarudi, erections kama jiwe zita rudi, kusahau sahau kutaisha, mikono kutetemeka kutaisha n.k. Inachukua 90. Google "your brain on porn" kujifunza zaidi.Usisaha mazoezi kuongeza testosterone levels (hormone za kiume)
 
Ni jambo la kujipongeza sana nimeondoka CHAPUTA tangu September mwaka huu na sijarudi tena, Ee Mola naomba aniwezeshe niache kabisa ujinga huu niliouanza tangu 2009, unaaibisha sana, kwa wale ambao bado mnaendelea tujitahidi sana kuacha inawezekana "SAY NO TO CHAPUTA", ila pilau ndo nimeshindwa kuacha kuangalia ila nayo kufikia mwaka mpya naamini nitakua nimepiga hatua, tuombeane wandugu.

Karibu wenye shuhuda mbalimbali za kuacha tupeane inspiration, pia tuelekezane jinsi ya kurudisha nguvu na confidence.

KUACHA INAWEZEKANA
Acha then tia mamanzi kujiridhisha usiangalie sana kama wanaridhika slowly utarudi normal
 
1: Tafuta mtu uishi naye awe wa kushare naye gharama za chumba (kama unaishi nyumbani mkaribishe kama rafiki).

3: Free time unayoipata jipatie shughuli ya kufanya, kama una laptop tafuta software ya FL ujifunze kutengeneza beats au ya kuedit video, hiyo free time itumie hivyo. Kama unajua home exercises zifanye.

4: Mimi nina sifa zote za kutopendwa na msichana lakini kinachoniongoza ni kua cool na kua relaxed nikiwa mbele ya msichana, huwezi kua cool or funny? Or both?
kwamba una sifa zote za kutopendwa????????????????????
 
mi namshukuru mungu nimeacha na naelekea kumaliza mwaka bila kufanya hivo kitendo cha kwenda tu kuoga ilikuwa lazima nipige
 
Ni jambo la kujipongeza sana nimeondoka CHAPUTA tangu September mwaka huu na sijarudi tena, Ee Mola naomba aniwezeshe niache kabisa ujinga huu niliouanza tangu 2009, unaaibisha sana, kwa wale ambao bado mnaendelea tujitahidi sana kuacha inawezekana "SAY NO TO CHAPUTA", ila pilau ndo nimeshindwa kuacha kuangalia ila nayo kufikia mwaka mpya naamini nitakua nimepiga hatua, tuombeane wandugu.

Karibu wenye shuhuda mbalimbali za kuacha tupeane inspiration, pia tuelekezane jinsi ya kurudisha nguvu na confidence.

KUACHA INAWEZEKANA
Ngoja kwanza...., kwani kupiga selfie (nyeto) kuna noma gani..? BAKI NJIA KUU BRADHA...., BAKI CHAPUTA
 
Mkuu Jaribu kutafuta demu kidogo kidogo utazoea Kwani practice make perfect, mimi bwana juzi nimeabika pia mtoto kaja gheto usiku nikamwandaa fresh akalainika hatari Ile kuingiza dushe tu wazungu hao na ngoma ikanywea na usingizi hapo hapo, nilijiona mzembe wa hali ya juu, mimi niliacha kupiga nyeto kwa mwaka mzima ila nikawa nachk porn kwa mwezi mara moja huku nikiwa sina demu, lakini cha ajabu mwezi wa kumi na moja nikaanza tena kunyetuka kwa wiki mara moja au mbili, sasa juzi si ndio nikapata demu nikaishia kuabika tu, lakini sitokata tamaa, najua nitakua sawa tu, jamani wale waliopona watupe shuhuda ase maana hii kitu inaumiza sana
na usingizi hapo hapo? Umenichekesha sana mkuu
 
Apparently, self dry snitching is the name of the game nowadays. Quite a price we're paying for being the digital generation.
 
Nenda kwa wataalam wa kisaikolojia
Mm nimesoma form one hadi Six shule za wanaume tu
Tulikuwa tunapiga nyeto at least mara tatu kwa siku
Tena tunatazamana bafuni au bwenini
Lkn mbna sina tatizo lolote?
Watoto saba mama tofauti
Na sijawahi wa disappoint mbona?
Anyway mm ni mnyakyusa tumejaaliwa kuwa na vilema huku chini
Duh! kila siku mara tatu?
 
Asanteni kwa ushauri, najitahidi kupunguza kwa kweli ili mwisho niache kabisa, kuna mda najiskia kuzidownload tu ila hata siziangalii yani nadownload hata 8 hv then naangalia kidogo moja hata dk1 af nafuta zote.. yani hivi vitu unakua kama chizi aisee

I felt wat u have just said
 
Asanteni wote kwa ushauri, nawafatilia vizuri.. kuhusu kutafuta dem shida ni kuwa bado nina wasiwasi na perfomance yangu niasije kuaibika

Huwo wasi wasi ndo utakufanya u underperform, jitahid kutowaza kuwa ukipata mwanamkea utashindwa kuperform, jijengee confidence.....ukiwa na confidence tu inatosha na utapiga nying za heshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom