Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

Lowasa pamoja na porojo zote za mafuriko feki alishakatwa na watanzania 2015.

Hao watetea mafisadi chadema wanapoteza muda wao
 
Mkuu, kupambana na IMF, WB inahitaji ujasiri na uthubutu mkubwa. Hugo Chaves alijitahidi sana lakini sidhan kama alifanikiwa.
Inasemekana hao jamaa ndiyo walitoa mashrti wakati fulan kuhusu JKT kwa mujibu wa sheria. Walikomaa na kuibinya serikali na kweli ikafutwa kabla ya kurejeshwa tena mwaka juzi hapa

Ndio wenye uchumi wetu,ata tukitaka kuchapisha hela ni lazima tuwaombe kibali.
 
Mbona unarukaruka jibu kwanza hayo ya mwanzo ndio tuendelee
hebu acheni uccm na uchadema bwana walioharibu washughulikiwe jamani ishu nyingine sio za kuleta uchama tubadilke mabilioni yanaitwa hela za mboga kwenye kulipa tunalipa wote huu Ni use**e
 
Wawa wazungu wehu sn!
Yaani bei ipande wakati tuna njaa tiyari??
 
Serikali inatafuta mkopo wa dola milioni 200 benki ya dunia. Hivi sasa TANESCO inadaiwa zaidi ya dola milioni 363.

Benki ya dunia imetoa masharti ili TANESCO wapewe mkopo lazima bei ya umeme ipandishwe.

Source: DW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi ni TAJIRI hakuna wa kutuwekea MASHARTI.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
kwahiyo unataka waongee uyatakayo
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Mazuri yanajulikana mkuu..... vyombi vya habaru vya wenzetu ni kuonyesha uozo...
 
Kwahiyo wewe unapenda bei ipande? Unajuwa kwamba hata bei tunayotozwa sasa inapaswa kupunguzwa?

Nitasimama na Rais katika hili kupinga ubeberu, wakapandishe bei huko kwao wapumbavu kabisa hawa mashetani weupe.

unajua TANESCO unit moja wanazalisha kwa kiasi gani hata useme hvyo???
 
Tanzania is seeking $200million from the World Bank for debt-ridden state power supplier TANESCO.

The country's energy ministry said this on Monday, two weeks after the president refused to allow the utility to hike prices to cover costs.

President John Magufuli wants cheap electricity to drive industrialisation, but the World Bank is likely to insist the loss-making utility increases prices so it can cover the cost of producing power and begin much-needed reforms.

Any struggle to secure that loan would underline the constraints faced by Magufuli, who is nicknamed 'The Bulldozer', as he tries to push through an ambitious economic reform agenda 14 months after he got into office.

The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) has debts of $363 million, the ministry said in a statement, up from $250 million at the end of 2015.

"As part of efforts to reduce TANESCO's arrears ... and improve its operations, the World Bank has held talks with the government through the Ministry of Energy and Minerals for a $200 million loan," the ministry said in a statement.

It also said there was no agreement at this point with the World Bank to raise tariffs in return for the loan.

The World Bank was not immediately available for comment.

Tanzania's energy regulator approved on December 31 a tariff hike of 8.53 per cent, less than half of what the utility said it needed to cover the losses.

But the next day, Magufuli sacked the head of the state electricity company, saying the price hike would stymie his plans to ramp up industrial output.

Decades of mismanagement and political meddling means the utility sells electricity below cost. It also struggles to cope with transmission leaks and power theft.

Despite reserves of over 57 trillion cubic feet (tcf) of natural gas, Tanzania faces chronic power shortages due its reliance on hydro-power dams in a drought-prone region for about a third of it's 1,570 MW of installed capacity .

TANESCO has to resort to costly fuel oil or diesel plants to fill the shortfall during dry spells and many of its arrears are due to the costs of private power and fuel suppliers. Most oil plants are being shut or converted to use natural gas.

Tanzania aims to add about 2,000 MW in gas-fired generation by 2018

Read: Magufuli sacks energy firm boss over tariff hike
Mod muhamisha uzi Basi pandisha pale juu ili taarifa ikamilike
 
Hivi Pesa ambazo Wateja wanawalipa zinakwenda wapi?
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Ulitakaje ww!!wasifie au waseme uongo.
 
Serikali ya Tanzania imewekwa mtegoni kuamua kupandisha bei yya umeme au ikose mkopo wa dola millioni 200 kutoka benki ya dunia.
Benki ya dunia unasema shirika LA umeme LA Tanesco linaendeshwa kwa hasara kubwa na linaelemewa na madeni makubwa.
Benki hiyo imesema kuwa madeni ya Tanesco yamepanda kutoka dola milioni 200 mwaka Jana hadi dola milioni 363.
Benki hiyo ya dunia imesisitiza kuwa hakuna namna isipokuwa lazima shirika LA Tanesco lipandishe umeme ili kulipunguzie mzigo wa madeni na benki ya dunia ilidhie huo mkopo.
Note: PENYE UKWELI UWONGO HUJITENGA:
Source: DW
Wakipandisha bei ya umeme Prof Muhongo itabidi aachie ngazi na wambuombe msamaha Eng Mramba!!
 
  • Thanks
Reactions: bne
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Binafsi hua nina hakika hakuna nchi ya magharibi yenye upendo kwa mtu mweusi; sasa tujibu swali hili, (bila kujali wanatupenda au laa) Je Umeme utapanda au hautapanda bei!? Hayo mambo ya mapenzi kwetu tuyaache kwanza, let us discuss issues and not person/body
 
Wambuombe msamaha Eng Mramba!!
Ina maana hesabu za TANESCO zilibadilika within the period of 9 months baada ya mkurugenzi kuamua kushusha bei. Alijua wazi shirika alina faida ya kushusha bei in the first place jamaa kutimuliwa ilikuwa ni haki yake hakuwa mtu mwenye plan kabisa na ndio chanzo cha makelele ya siasa za bei za umeme leo kwa sababu ya maamuzi ya ovyo aliyoamua kuchukua mwezi wa tatu tena ata hao EWURA walikuwa wanamshangaa.
 
Back
Top Bottom