Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Yaani ulitaka DW wafumbie macho Uovu? au unataka kuficha kila kitu kama mnavyoficha njaa? IPTL inawafirisi Tanesco na zito alishawaambia kila kitu.
 
Binafsi hua nina hakika hakuna nchi ya magharibi yenye upendo kwa mtu mweusi; sasa tujibu swali hili, (bila kujali wanatupenda au laa) Je Umeme utapanda au hautapanda bei!? Hayo mambo ya mapenzi kwetu tuyaache kwanza, let us discuss issues and not person/body
Kwa kawaida mtu anayekuambia Ukweli bila unafiki ndiyo rafiki wa kweli hao DW ni rafiki wa Ukweli hawana Unafiki kama china au Nchi zingine wanaanika Ukweli ili serikali ipate kujifunza.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Kwa hiyo Kusema Ukweli au Kuarifu watu kinachoendelea ndio unachokiita Ubaya wa DW, Walivyo fyatu DW wanadhani ati huwalipi na Kwa hiyo usiwafundishe kazi! Pretty Rude of em don't you think? Mwombe Magu amwambie Nape awafungie awaambie hajaribiwi! Na akifunga hakuna wa kufuungua, Lol! Ni "Wachochezi"
 
Serikali ya Tanzania imewekwa mtegoni kuamua kupandisha bei yya umeme au ikose mkopo wa dola millioni 200 kutoka benki ya dunia.
Benki ya dunia unasema shirika LA umeme LA Tanesco linaendeshwa kwa hasara kubwa na linaelemewa na madeni makubwa.
Benki hiyo imesema kuwa madeni ya Tanesco yamepanda kutoka dola milioni 200 mwaka Jana hadi dola milioni 363.
Benki hiyo ya dunia imesisitiza kuwa hakuna namna isipokuwa lazima shirika LA Tanesco lipandishe umeme ili kulipunguzie mzigo wa madeni na benki ya dunia ilidhie huo mkopo.
Note: PENYE UKWELI UWONGO HUJITENGA:
Source: DW

Sirikli ya kukurupuka na visasi na ukanda ilimuona mramba syo wa kandaziwa,wataumbuka na maombi wanayoomba shetani awaombee
 
  • Thanks
Reactions: bne
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.

Uhusiano wa DW na world benk na liongoi ukoje hapo,WB ni watoa mkopo DW waandishi habari,labda useme WB ni wachochezi kuinyima Tanesco mkopo
 
Mkuu kuna wateja wengi sana ,hapa Dar tu robo tatu ya wananchi wake hawana umeme ,njoo na miji mingine.Kinachotakiwa Tanesco ni kubadilika,bado wapo usingizini na wanafanya kazi kwa mazoea mkuu,urasimu ndio umelala Tanesco,badala ya kuongeza bei wanatakiwa wapunguze bei ili wateja wengi walipe bili zao ,umeme upo bado juu.

Kwa mtazamo wako wa haraka haraka unadhan Tanesco wanafanya makusudi usipate huduma ya umeme?,Shirika lina khali mbaya sana!,hakuna vifaa stahiki kuweza kumpa mteje huduma kwa wakati
 
Serikali inatafuta mkopo wa dola milioni 200 benki ya dunia. Hivi sasa TANESCO inadaiwa zaidi ya dola milioni 363.

Benki ya dunia imetoa masharti ili TANESCO wapewe mkopo lazima bei ya umeme ipandishwe.

Source: DW
Ngoja response ya watawala kesho:
DW wamenunulia au wanafanya uchochezi ili watuuzie umeme wa dili!
 
CCM wanaita Watanzania malofa na maskini, na waliowafanya hivyo ni wao kwa sababu ya Ulofa wao vichwani mwao,Magu shughuli imemshinda sasa ni wakati wa KUJITUMBUA , Bila ya kuona aibu baba sepa utoe nafasi wenye maarifa ya uongozi wa binadamu waongoze, na wewe baba Ng'ombe zako ukaziwahi maana zikifa kwa njaa Baba kibarua ndio huna, ualimu baba sikushauri kurudi maana lazima ufanyiwe Uhakiki baba nna wasiwasi hutoki, kwa wewe nenda moja kwa moja Chato kwenye malisho, safari njema na uwasalimie baba na ss hatutokumiss.
 
Tanesco wanadai pesa nyingi Zanzibar na wizara na taasisi za serikali ya muungano hivi Benki ya dunia wameshindwa kuiambia tanesco wakusanye madeni yao badala take wapandishe bei ya umeme
 
Tanesco wanadai pesa nyingi Zanzibar na wizara na taasisi za serikali ya muungano hivi Benki ya dunia wameshindwa kuiambia tanesco wakusanye madeni yao badala take wapandishe bei ya umeme
Tanesco wenyewe hawajui wajibu wao wa kukusanya madeni? Sema Tanesco inapaswa ijiendeshe kibiashara, ijitoe chini ya serikali, maana wadeni wake ni hii serikali. Na ikiwa nje ya serikali, umeme hautashikika kitu ambacho serikali haitaki.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Tukawafungie wasirushe matangazo mpaka pale mheshimiwa atakapo ruhusu
 
Wewe unatoa maoni yako kwa mtazamo wako.Hakuna ukweli wowote kuwa DW wanaongea mabaya tu kuhusu Tanzania
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Inaweza ikawa kweli wamesema, ila wao ndo nani kwa Tz yetu. DW ndo akina nani kwetu? Watz lazma tujifunze kujitegemea, hatuna jinsi. La sivyo, tuwaache wanetu utumwani.

Kama chombo cha habari kina haki, ila ni hilo tu? Yao ni yapi? Mema kwetu ni yapi? Nayachukia sana mambo haya. Tanesco kwa sasa haliwezi kujiendesha kwa faida, bado si shirika la kifaida, navijua vijiji vingi ambavyo Tanesco wameviunganishia umeme na kaya 5 tu ndo zinazotumia umeme.

Tanesco linatoa huduma, serikali lazima itoe ruzuku kwalo, umeme bado ni huduma kwa Tz kama barabara na reli, kudaiwa ndo nini hapo? Tanesco linakopa lenyewe nje au? Nawachukia.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Je, DW wameripoti uongo? Hiyo ndio inaweza kuwa issue ya msingi hapa, kwamba Liongo aliwahi kuwa mtangazaji wa DW hivyo "anashawishi" habari kama hizo ni dharau kwa taaluma, na ni kebehi kubwa kwa DW!
 
Back
Top Bottom