Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

Huu ni mpambano mwingine kati ya serikali,benki ya dunia na IMF.

Mmoja ni ule wa mgodi wa Dhahabu dutwa ambako benki ya dunia ina hisa,na wamefutiwa leaeni,mwingine ni huu wa tanesco.

Natabiri kuibuka kwa mgongano mkubwa sana kati ya Tanzania na mashirika haya,na ndani ya miaka miwili ijayo mashirika haya yatakuwa "yametunyoosha"

Mashirika haya hayaendeshwi na siasa,yanaijua tanesco nje ndani,yanasoma hesabu kwanza ndipo yanatoa hela,kama hesabu inasema lazima bei upande,itapanda tu

Wakati huo huo wachina tumewavuruga kwenye reli,sioni kama tuna mahala pa kukimbilia

Ndio furaha yako na maombi yako hayo yatukie, alimradi raisi apatwe na shida, ingali hali anafanya haya kwa nia njema, tukuitaje.
 
DW Ujerumani Wamechukua Wapemba Wengi Wakiamini Ndio Wanaojua Lugha Ya Kiswahili, Cha Kusikitisha Wameokoteza Wana CUF Kutoka Pemba, Wanaompigania Maalim Seif Kila Siku Awe Rais, Hawa Jamaa Siku Hizi Wamekuwa Engine Ya Propaganda Ya Maalim Seif Kiasi Kwamba Wamekuwa Kama Radio 5 Maana Wao Kila Siku Ni Magufuli.

Anyways Ilipotangazwa Umeme Utapanda Watu Walichonga Balaa, Magufuli Akasema Hautapanda, Watu Wakachonga Tena Balaa, Leo Wanafurahia Bei Ya Umeme Ipande Tena, Mbongo Ni Gwiji La Mnafiki Dunia Nzima Hakuna
 
Huu ni mpambano mwingine kati ya serikali,benki ya dunia na IMF.

Mmoja ni ule wa mgodi wa Dhahabu dutwa ambako benki ya dunia ina hisa,na wamefutiwa leaeni,mwingine ni huu wa tanesco.

Natabiri kuibuka kwa mgongano mkubwa sana kati ya Tanzania na mashirika haya,na ndani ya miaka miwili ijayo mashirika haya yatakuwa "yametunyoosha"

Mashirika haya hayaendeshwi na siasa,yanaijua tanesco nje ndani,yanasoma hesabu kwanza ndipo yanatoa hela,kama hesabu inasema lazima bei upande,itapanda tu

Wakati huo huo wachina tumewavuruga kwenye reli,sioni kama tuna mahala pa kukimbilia

Tutawanyosha hawatatunyosha.Ni suala la nipe nikupe.Fedha za mkopo siyo lazima zitoke IMF.
 
Nchi haiwezi kupelekeshwa na masharti ysa WB
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.

Ata trump kawaponda hivi karibuni .
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Wanaongea ukweli
 
Kwa jicho la chadema DW ni ya maana sana kuliko maisha ya watanzania.

Shame on you chadema
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Nashauri DW ifungiwe
 
Hapo kwenye hicho kitufe cha kupandisha bei alipagusa Mramba akaondoka sasa tuone nani atamfunga paka kengele na kukigusa😀
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Acha uzembe. Je habari hiyo ingeripotiwa na Clouds Fm au gazeti la Uhuru ndo ungeiamini?
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Shughurika na facts siyo nani karipoti. Sote tunajua hali ya TANESCO, tuupokee ukweli.

KADA
 
World Bank kwa nini waweke hilo pendekezo la kupandisha bei?

Rais awe mnyenyekevu, aende China.
Mgabe kila tatizo alilokuwa analipata kwenye serikali yake aliona pakukimbilia ni China mwisho akachokwa matatizo yakabaki pale pale.
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Lowassa atawapelekesha sana. Yaani inamaana kwamba hata EWURA wanamtii Lowassa? Kama anaweza kuamua umeme upande au ushuke kwanini asiwe rais sasa?

Acheni kuhamisha magoli. Suala la TANESCO ni la miaka mingi na kama mmeingia kwenye anga za WB, hamna pa kutokea, ukweli utajulikana tu. Mramba mnadhani hana Mungu?
 
Back
Top Bottom