Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Watu wenye akili za kushikiwa kama wewe na wenzako mtapeana likes za kutosha....wale sio Uhuru FM ..hawa ni watu professional ktk tasinia ya habari ..facts tupu zilizofanyiwa research kama hampendi kusikiliza facts endeleeni kusikiliza Uhuru na TBC FM ili msikwazike.
Jinga sana majitu kama ninyi..
 
Mkuu kuna wateja wengi sana ,hapa Dar tu robo tatu ya wananchi wake hawana umeme ,njoo na miji mingine.Kinachotakiwa Tanesco ni kubadilika,bado wapo usingizini na wanafanya kazi kwa mazoea mkuu,urasimu ndio umelala Tanesco,badala ya kuongeza bei wanatakiwa wapunguze bei ili wateja wengi walipe bili zao ,umeme upo bado juu.
Sasa ndugu unapopunguza gharama za umeme ili upate wateja wengi sasa Tanesco hivo vifaa vya kuwajengea hao wateja na gharama nyingine za uendeshaji watapunguziwa? Maana vinanunuliwa.
 
Baadhi ya watu tena Watanzania wanapanga jinsi ya kupata hela za bure na wanadhani Tanesco ndiko rahisi kupitia, wnafanikiwa na kujikuta wanalipwa pesa nyingi kuzidi hata wafanyakazi vigezo vikiwa 'capacity charges'!
Kwa hiyo Tanesco ikiiishiwa inaona mbinu rahisi ya kuendelea kuwalipa hao 'matapeli' wao ni kupitia wateja hivyo wanaongeza gharama za umeme.
Je, Serikali na Tanesco wanaamini huyu mteja ataendelega kulipa daima kadri anavyopandishiwa hata asihoji!?
 
Binafsi hua nina hakika hakuna nchi ya magharibi yenye upendo kwa mtu mweusi; sasa tujibu swali hili, (bila kujali wanatupenda au laa) Je Umeme utapanda au hautapanda bei!? Hayo mambo ya mapenzi kwetu tuyaache kwanza, let us discuss issues and not person/body
Tusipambane na matawi. Tufute la escrow na IPTL kwanza na Tanesco itapona
 
Tusipambane na matawi. Tufute la escrow na IPTL kwanza na Tanesco itapona

Upambane nazo kivipi?
Wamekuibia?
Unajua umeingia nao mikataba,tena timu toka wizarani imepanda KLM first class kwenda kusaini mkataba na IPTL huku UK,team ya AG,wahasibu,wachumi etc, cha kufanya kama mnaona hamutaki ni kuvunja nao mkataba na kuwalila mabilioni ya dola ambayo serikali haina.
Madhara yake ni kwamba hakuna muwekezaji atakuja tena maana hakuna usalama wa mtaji wake!
 
Je, DW wameripoti uongo? Hiyo ndio inaweza kuwa issue ya msingi hapa, kwamba Liongo aliwahi kuwa mtangazaji wa DW hivyo "anashawishi" habari kama hizo ni dharau kwa taaluma, na ni kebehi kubwa kwa DW!
DW wamesema Ukweli na awamu hii ya tano haipendi kuambiwa Ukweli,wanapenda kuficha ficha kila kitu,mfano sasa wanaficha njaa,wanaikumbatia IPTL nk ,radio DW hawana unafiki wanaanika kila kitu kwa uwazi.
 
Ina maana hesabu za TANESCO zilibadilika within the period of 9 months baada ya mkurugenzi kuamua kushusha bei. Alijua wazi shirika alina faida ya kushusha bei in the first place jamaa kutimuliwa ilikuwa ni haki yake hakuwa mtu mwenye plan kabisa na ndio chanzo cha makelele ya siasa za bei za umeme leo kwa sababu ya maamuzi ya ovyo aliyoamua kuchukua mwezi wa tatu tena ata hao EWURA walikuwa wanamshangaa.
Bei ilishushwa kisiasa!!

Ndiyo maana kwenye ile report wanadai walikubali washushe kwahiyo 1 % halafu wapeleke mapendekezo ya kupandhisha 2017 by September 2016. Kwa hiyo, wakati wanashusha kwa huo muda tayari kila ilishajulikana kuwa watapandisha. By how much no one knew!!
 
Tupunguze kukopa aisee, hii mikopo tunachekwa, hadi $200M tunakopa? tatizo mikopo yenyewe ina masharti makubwa balaa na ikifika wakati wa kulipa tunalipa parefu mno.
 
Binafsi hua nina hakika hakuna nchi ya magharibi yenye upendo kwa mtu mweusi; sasa tujibu swali hili, (bila kujali wanatupenda au laa) Je Umeme utapanda au hautapanda bei!? Hayo mambo ya mapenzi kwetu tuyaache kwanza, let us discuss issues and not person/body

Chuki za mataifa ya Magharibi kwa mtu mweusi ni bora kuliko mapenzi ya mtu mweusi kwa mweusi mwenzake!
 
Lowassa atawapelekesha sana. Yaani inamaana kwamba hata EWURA wanamtii Lowassa? Kama anaweza kuamua umeme upande au ushuke kwanini asiwe rais sasa?

Acheni kuhamisha magoli. Suala la TANESCO ni la miaka mingi na kama mmeingia kwenye anga za WB, hamna pa kutokea, ukweli utajulikana tu. Mramba mnadhani hana Mungu?
Mramba ana Mungu na alikuwa anamtumikia kwa nguvu zake zote.
Na ndie atakae mtetea hata katika hili. Taratibu ukweli unaanza kujitenga na uongo.
Mramba Mungu kakuandalia mazuri mbele.
Ila nimegundua Watanzania tunaushabiki ushabiki tu hatupimi mambo, mtu akitumbuliwa wanashangilia hawaangalii ni mlengo gani uliochukua njia kama ni siasa, profession au mambo binafsi. Tufikiri jamani.
Kuna mtu alisema kupanda bei ya umeme ni suala la muda tu. Naona aliona mbali.
 
Tatizo Watanzania tunapendakusikia kile tunachokipenda na siyo ukweli! Dw imesema ukweli sasa shutuma zote hizi kwa nini?!
 
Mramba ana Mungu na alikuwa anamtumikia kwa nguvu zake zote.
Na ndie atakae mtetea hata katika hili. Taratibu ukweli unaanza kujitenga na uongo.
Mramba Mungu kakuandalia mazuri mbele.
Ila nimegundua Watanzania tunaushabiki ushabiki tu hatupimi mambo, mtu akitumbuliwa wanashangilia hawaangalii ni mlengo gani uliochukua njia kama ni siasa, profession au mambo binafsi. Tufikiri jamani.
Kuna mtu alisema kupanda bei ya umeme ni suala la muda tu. Naona aliona mbali.
Unafiki utatumaliza MT. Huu unafiki umekita sana mizizi. Sasa hivi unarithishwa kama kwa vinasaba vile. Mwenyezi Mungu aturehemu. Nilishangaa sana hatua zilizochukuliwa dhidi ya Mramba na kujitetea kwa waziri wa nishati. Huyo waziri eti ni profesa.....
Wajue Mungu anawaona.
 
Bei ilishushwa kisiasa!!

Ndiyo maana kwenye ile report wanadai walikubali washushe kwahiyo 1 % halafu wapeleke mapendekezo ya kupandhisha 2017 by September 2016. Kwa hiyo, wakati wanashusha kwa huo muda tayari kila ilishajulikana kuwa watapandisha. By how much no one knew!!
Unazungumzia kushuka kwa 1.5 to 2.4 percent ya umeme on the same level kama biashara ya genge ambayo muuzaji labda anategemea familia mia za mtaani kufanya biashara yake na gharama zake sio vile na pengine wala hana ambitions kufungua duka lingine.

Hivi unajua how much is that in billions hizo percentage per unit ukizikwangua na kiasi gani TANESCO inahitaji kutoka kwenye bubdget deficit wachilia mbali kuanza kufikiria faida. Tena hizo lower percentage ilikuwa ni busara tu za EWURA na pengine wasionekane watu wasiotaka kuona ndoto za raisi ndio kusema basi shusheni kwa hizo percentage ndogo. Huyo Mramba alitaka iwe 11% leo mtu huyu huyu anatetewa kutaka kupandisha si inabidi ujiulize decision zake za mwezi wa tatu zilitokana na biashara ipi in the first place? Kuna vitu vya kulaumu lakini sio kufukuzwa kwa Mramba on his part kilichomkuta ni sawa kabisa.
 
zile hela za kununua bombadier na boeing dreamliner si more than enough kuinua tanesco?
 
Back
Top Bottom