Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

Sauti ya Ujerumani: TANESCO hoi bin taaban kifedha!

Kuna haja ya very critical katika maswala haya. We must come together objectvely na kwa uzalendo wa hali ya juu.
 
unasahau kwamba fedha wanazokusanya zinalipa deni la mafisadi ya maccm walizoziiba
Haha kaka unao huko huko CCM walikimbia baada kushtukiwa,waulize Chadema watakwambia walio kwenye orodha 20 ya mafisadi,au umesahau orodha ya Mwembechai,nasikia wengine waliotajwa wamefutwa kwenye tovuti ya Chadema
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
hao DW hawajui kuwa sisi redio zetu vipenzi ni Tbc taifa na Radio Uhuru? ebo!
 
Wanakopesha kibiashara,hata benki ukienda lazima waitathmini biashara yako,wanaweza kukukopesha ukafilisika na hela zao zikafia kwako,kwa hiyo hata tanesco wanapokopa lazima qaonyeshe watalipaje,mapato yao ya. Mwezi yataangaliwa na yanavyotumika,kama kinachobaki kidogo,basi unaambiwa ili ukope na uweze kulipa,pandisha bei
kwani watalipa tanesco au serikali?
 
Ulitakiwa kwanza uthibitishe pasipo shaka kuwa hiyo habari waliyoiripoti ni ya uongo ili ulete lalamiko lako hili, zaidi ya hapo tulia.
No research no right to speak.
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
 
Haha kaka unao huko huko CCM walikimbia baada kushtukiwa,waulize Chadema watakwambia walio kwenye orodha 20 ya mafisadi,au umesahau orodha ya Mwembechai,nasikia wengine waliotajwa wamefutwa kwenye tovuti ya Chadema
hata wa ESCROW wamekimbilia Chadema?
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.
Mkuu tangu lini kinyesi kikapuliziwa marashi?
 
Yule mpiga kengele wa Chato lazima jasho limtoke mwaka huu. Alidhania kuongoza watu ni jambo la mchezo mchezo.

Mwafaa!
 
Duh sasa magu kwanini anakataa kuongeza umeme bei
Kwahiyo wewe unapenda bei ipande? Unajuwa kwamba hata bei tunayotozwa sasa inapaswa kupunguzwa?

Nitasimama na Rais katika hili kupinga ubeberu, wakapandishe bei huko kwao wapumbavu kabisa hawa mashetani weupe.
 
HV kuna chombo cha habari cha bongo kilichotangaza hii ishu?
 
My country is amazing, hivi bado kweli waelevu wa jukwaa hili amjabaini tatizo la msingi Tanzania ni kuongozwa na watu wasio na qualification za kuitwa wanasiasa.

Aiwezekani vitu ambavyo raia tunaweza ona mbio za sakafuni zinapoenda ishia halafu viongozi wasione.
 
Huu ni mpambano mwingine kati ya serikali,benki ya dunia na IMF.

Mmoja ni ule wa mgodi wa Dhahabu dutwa ambako benki ya dunia ina hisa,na wamefutiwa leaeni,mwingine ni huu wa tanesco.

Natabiri kuibuka kwa mgongano mkubwa sana kati ya Tanzania na mashirika haya,na ndani ya miaka miwili ijayo mashirika haya yatakuwa "yametunyoosha"

Mashirika haya hayaendeshwi na siasa,yanaijua tanesco nje ndani,yanasoma hesabu kwanza ndipo yanatoa hela,kama hesabu inasema lazima bei upande,itapanda tu

Wakati huo huo wachina tumewavuruga kwenye reli,sioni kama tuna mahala pa kukimbilia
mkuu,waweza fafanua?tumewavurugaje wachina?
 
DW wana ajenda gani na Tanzania? Kwa zaidi ya miaka mitatu sasa hii Radio ya Ujerumani haina zuri la kusema kuhusu Tanzania. Inajulikana msemaji wa Lowassa Abubakar Liongo alikuwa anafanya kazi huko inaelekea bado mkakati bado unafanya kazi. Tuwatakie kila la heri.

Mkuu kwa upande wangu kwa miaka hiyo mitatu unayoisema sijaona zuri lolote, acha wenye uwezo wa kutumia ubongo wao waongee, wewe endelea kuuhifadhi tu hadi hapo expiring date itakapofika.
 
Back
Top Bottom