DOKEZO Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIUT) aamuru Wanafunzi wapige magoti wakati anafundisha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
474
Reaction score
737
Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.

Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.

Mfano tukio hili aliwapigisha magoti chini Wanafunzi tena kwenye Laboratory sehemu ambapo kuna uchafu mwingi wa kikemikali. Hivi ni sawa kweli Wanafunzi wa Chuo Kikuu kupigishwa magoti darasani kwao kama hivi?

Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.

Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.

Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.

TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
 
Mnakubali vipi kupelekeshwa na MTU,MTU mwenyewe mnaigeria,unapigishwa magoti mtu uko chuo?.hebu hakiki vizuri hapo ulipo sio darasa la sita B kweli?
 
Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.

Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.

Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.

Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.

Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.

TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Nini kazi ya chama chenu cha wanafunzi?
 
kote yupo vizuri isipokua hapo kwenye mazishi,,
hivyo vingine ni kama chachu kwa mwanafunzi ili ajitahidi kitaaluma acheni kulia lia, ukiona hauwezi kulipa hiyo elf 40 jitahidi upate ufaulu mzuri, wasilisha kazi kwa wakati sidhan kama mtasumbuliwa, mfano wote mkikataa kwenda kwenye hayo maeneo mnataka nani aende sasa
 
Nyinyi ni wavivu na huo ndio ukweli, kwa kipindi kirefu hiki chuo kimekua cha kijinga sana, sasa ni wakati wa kunyooshwa, hamna nidhamu na hamjui lolote, wewe binafsi ni mara ngapi unaenda rotation? Nyinyi rotation hamtaki kwenda na kwenye practice hakuna mnachojua. Unakuja kulalamika hapa na hakuna unachojua kwenye taaluma Yako.

Kwanza ni sahihi kuwapiga penalty, hiyo elfu40 ni ndogo sana mlitakiwa kupigwa kuanzia.laki moja. Tatizo labda ni happy kwenye mambo ya kufiwa.
 
Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.

Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.

Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.

Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.

Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.

TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Sasa mtu km wewe ndiyo mwanafunzi wa university? Hujui tofauti na lecture na Lecturer, amewaona maboya
 
Nenda kasome tena John 8 mtumishi/mtumwa
Sijaelewa John 8 inahusiana vipi hapa.

Nimeongelea utumwa as an occupation, as I've explained here (point 7)

Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.

Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa alipe Shilingi 40,000 idarani.
View attachment 3599350
Mfano tukio hili aliwapigisha magoti chini Wanafunzi tena kwenye Laboratory sehemu ambapo kuna uchafu mwingi wa kikemikali. Hivi ni sawa kweli Wanafunzi wa Chuo Kikuu kupigishwa magoti darasani kwao kama hivi?

Ukifeli hospital attachment ama rotation unatakiwa ulipe Shilingi 40,000 idarani. Mara kadhaa tumepeleka malalamiko management hatujasikilizwa, Wanafunzi tunateseka hatuna wa kututetea.

Wanafunzi wa mwaka wanne anatunyima haki kwenye specialization anataka watu waende area ambazo hawataki ku-specialize, tukitaka kwenda kwa wakuu wa chuo anasema hawawezi kusaidia.

Wanafunzi akifiwa hata na wazazi hauruhusiwi kumiss darasa wala mitihani anakwambia ukienda kumzika atafufuka, ana majibu mabaya sana Dr V.

TCU tunaomba mfatilie hili suala la wageni kuwa wengi kwenye Chuo Kikuu cha Kampala.
Yaaaaani, ati nini?
 
Back
Top Bottom