SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

hahahahaha..... bado hatusomi kuelimika, tunasoma kupata cheti cha kuombea ajira, matokeo yake tunabaki level moja wote, waliosoma na wasiosoma...
 
Tatizo la SAUT sio chuo au wahadhiri, ila ni wanafunzi. Take that from me. Wanafunzi wanapenda mtelemko, wanataka kubebwa kuliko vyuo vingine. Sasa wanapo shindwa kubebwa huanza lawama.
Kama shida ni wanafunzi, bado kiini cha hao kuwa wabovu ni uongozi wa chuo: Usajili wao ni wa hovyo au management ya chuo mbovu.
 
Shida wala sio chuo,shida ni akili ndogo za wanafunzi....

Wanafunzi hua wao wanadhani hawanaga makosa,kumbe chanzo cha matatizo yote haya ni bongo zao za hovyo...

Sometimes muwe mna take responsibility of your own useless IQs!
Hakuna sehemu ambayo nimesema wanafunzi ni perfect hapana lakini mifumo ya SAUT ni hovyo mfano walihamisha mfumo wa kuweka matokea kutoka OSIM kwenda SIM wanafunzi wakajawa na furaha tele kwamba Sasa matatizo ya Incomplete yatafika mwisho kilicho tokea ni GPA za watu kushuka kijinga kabisa bila sababu na tatizo la Incomplete kuwa kubwa zaidi Sasa hapa shida iko wapi kwa wanafunzi?
 
Tatizo la SAUT sio chuo au wahadhiri, ila ni wanafunzi. Take that from me. Wanafunzi wanapenda mtelemko, wanataka kubebwa kuliko vyuo vingine. Sasa wanapo shindwa kubebwa huanza lawama.
Mkuu sio kweli wanafunzi wanapambana mifumo niya hovyo.Angalia picha hiyo chini wanafunzi wanagawiwa ID Kama wanafunzi wa shule ya msingi
IMG_20220630_170448_698.jpg
 
Ushauri kwa Kaka,Dada,Mama,Baba,Mjomba,Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo

* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production

* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.

* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT

* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM

* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=

* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndo tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.

* Chuo kujiendesha kienyeji.yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja alafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani

Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.

"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"
Acha kuchafua chuo chetu yako wapi hayo wakati mwenyewe nipo hapo nasoma sijaona unachokisemea hapa, mfano uvivu wako na kuelemewa na starehe chuo kikubebe tu pole yako,
 
Hakuna sehemu ambayo nimesema wanafunzi ni perfect hapana lakini mifumo ya SAUT ni hovyo mfano walihamisha mfumo wa kuweka matokea kutoka OSIM kwenda SIM wanafunzi wakajawa na furaha tele kwamba Sasa matatizo ya Incomplete yatafika mwisho kilicho tokea ni GPA za watu kushuka kijinga kabisa bila sababu na tatizo la Incomplete kuwa kubwa zaidi Sasa hapa shida iko wapi kwa wanafunzi?
Sababu kuu ya GPA kushuka ni nini?

Ni akili ndogo...nothing else

Someni bwana,acheni blah blah
 
Mkuu hujapunguza kitu kabisa. Mdogo wangu kamaliza Diploma hapo mwaka jana hayo mambo kayakuta.

Kuna jambo hujagusa, SAUT ndio chuo kinaongoza Tanzania kwa wanafunzi kujifungua hasa ukienda BaEd huwa wanataniwa kwamba wanazaa wanafunzi wao wenyewe. Hili sijabahatisha kulisema, nimezungukavyuo vingi kwenye matembezi yangu na nina marafiki wengi ila SAUT kwa kulea watoto ni next level
 
Tatizo la SAUT halijali wahadhiri. Yani mshahara kupanda imekataliwa. Mhadhiri anafundisha wanafunzi elfu moja lakini mshahara ni ule ule miaka kumi na tano Sasa.
Sasa hasira zao ndo ziwe kwa wanafunzi ndio maana wahadhiri wanawapa carry na ku force kununua vitabu
 
Alafu mbona hujasema suala la matokeo kubadilika hasa hao wanaocarry au kusapua. SAUT wana mfumo IT wabovu sana na wanahongwa wabadili matokeo
 
Bila kusahau totoz za MASHA , NGANZA , KIJIWENI NA PIA SWEYA ....

Chuo kipo fresh....shida ni wanafunzi tu....
 
Back
Top Bottom