Sasa wanamjua vema

Huyo mdada namwonea huruma sana. Siku akiingia kwenye anga la watu, nadhani watachukua muda mreeeefu sana mpaka "aondoke" watahakikisha anapata maumivu mpaka basi.

Anaweza akaomba msamaha, ila maneno yakishatoka huwa hayarudi.
Akiingia katika anga la nani tena? Katika nchi hii kuna mtu yeyote wa sisiem ambaye bado ajapigwa na Mange? na asivyo muonevu yeye apigi mabarozi wa nyumba kumi bali anapigaga pale penyewe yaani hakuna aliyembakiza.
 
Dada wa Taifa
 
Jiwe la maji

Wanasema supu ya mbwa hunywewa ikiwa ya moto.

Hii supu ni tofauti. Hii itanywewa ikiwa ya baridi. Subiri mambo yapoe na habari zisiwepo.
 
Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa

Haaaaa! Hawa viumbe hatari sana unaweza chambwa ukajichungulia.
 
bango kubwa point haionekani.

dada hayuko sawa kisaikolojia,huwezi tukana watu wazima umri wa baba yako.kama una akili timamu.
 
kama kuna mtu mzima na akili zake anamtilia maanani mange kimambi ana walakini kichwani kwake.

mimi nafikiri baada ya taraka huyu dada hayuko sawa mpaka sasa.
Huyu Dada alikuwa hivi hata kabla ya kuolewa na kupewa talaka labda km umeanza kumfatilia juzi ndio utasema amevurugwa sababu ya kuachwa
Kama unakumbuka alikuwa na page ya Uturn blog uliza alikuwa anafanya nini sio kumpatakazia eti talaka ndio sababu
Hata wewe weka jina lako kamili halafu mchokoze km hajakutajia mpaka mwanamke wako/au mwanaume wa kwanza kuku bi.ki.ri.
Uzuri sio yeye ni watu wanaokujua ndio wanampa data utafurahi na show ya kumchokoza Dada wa Taifa Mange Kimambi.
 
Namchulia kama hamnazo tu sometime anapotumia lugha za matusi
 
Halafu na wewe unajiunga kuufatilia... Mxiuuuuu... Hivi aliyekwambia kila mtu anaenda kazini asubuhi ni nani? Usiishi kwa kukariri koko wewe
Umenifurahisha sana boss wangu hajui watu Tunapiga kazi usku
 
Kwenye u-turn blog nakumbuka alimtukana mama wa watu enzi ndo instagram inapamba moto hadi akajiua,funny enough akawa anaendelea kumchamba marehemu!huyu ni wakuepukwa kama ukoma yaani nashangaa sana wanaojitoaga ufaham kupambana naye.
 
[emoji2] [emoji2] kuchambwa hadi kujiua!!
 
Kazi yake nzuri tu, kama sisi wengine tumefyata mikia, acha yeye aongoze mapambano.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…