Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

i mean naomba nikuulize kitu hapa though ni nje ya mada....imeandikwa hakika mkiula mkate huu na damu yangu hamtakufa bali mtaiishi milele,,,,,,,,,,,na ile ya wayahudi,,,,, baba yenu walikula mana(CHAKULA KUTOKA MBINGUNI) lakini walikufa this means walipaswa wasife baada ya kula kile chakula au sio? so tunakosea mahala fulani ndo maana tunakufa otherwise do death
Hahaha kufa lazima siyo hiyari mkuu, ila kuna vimaneno vinatia moyo tu.
 
Ifike mahali usilete ujuaji wa kipuuzi Kama hujui tulia kinachokufa ni kile chenye roho...eti kiungo kinakufa hivi unajua nini maana ya kufanana lakini.. Kasome lahaja za lugha upate tofauti ya kufa na mauti

Uliko kopi ukajaribu kutafsiri kijinga kijinga penyewe hawaelewi kifo na umauti.

Umauti ni haki, it's being into another state. Kifo ni cease of existence.

Ni vitu ambavyo vipo nje kabisa ya uelewa wako kwani elimu hiyo hawajaaliwi ila wachache na kwa uchache.

Kujaribu kukupa mtu kama wewe darsa ya kifo na mauti ni kama kumpigia mbuzi gitaa.

Punguani wahed.

Hahaaa ona ulivyo boya tafsiri lugha za watu katika uhalisia wake na si hicho kiarabu chako
Ulinipinga Kwenye mada yangu ya reincarnation leo unalamba matapishi yako hivi unajua Kwa hakika nini maana ya being into another state? Your thinking ability is too shallow

Being into another state Ya umauti ni tofauti na ujinga reincarnation.

Kama Kiarabu ambacho lugha yako ya taifa Kiswahili ina maneno kibao yaliyotokana nacho unakiita lugha ya kigeni, hicho Kingereza kitakuwaje?

Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu ewe punguani.

Ha ha ha ha ha daaah enheee!!
🙄
 
Simu yako hupatikani na juzi nilikuwa msata nikakucheki holaa
 
42e6a14c8b4a9b299b842cd9a83af7c3.jpg
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na kiasili.

Kwenye mada nyingi tumeona uhayawani wa mwanadamu tumeona kwa sehemu kubwa jinsi kiumbe hiki kiitwacho binadamu kilivyo kipumbavu na kisicho na chembe ya uelewa kuhusu yale yatokeayo na ayafanyayo kila siku.

Binadamu anaongozwa na hisia zaidi ya vile avipendavyo kuliko uhalisia na uelewa wa yale yanayotokea kila sekunde kila dakika na kila saa ya pumzi yetu
si mara haba tumeona tumeona picha zinazowakilisha matukio mbalimbali ya kutisha na kusikitisha matukio ya ajali nk. Wengi tumeyaandikia maelezo ya mbwembwe kulingana na hisia zetu na umahiri wetu katika kuonyesha uchungu lawama hasira nk.

Matukio hayo ni wenzetu ambao tayari hatunao tena ni marehemu wameshamaliza safari yao hapa duniani na sasa wako mahali pengine wakipumzika au wakiendelea na safari yao lakini katika hatua nyingine.
Hawa tunawaita wafu, kila mmoja akiwa kafikia umauti wake kwa style yake.

Wengine kwa mateso makubwa wametuachia majonzi na huzuni ambazo zina chukua muda kufutika katika hisia na kumbukumbu zetu, lakini pamoja na hayo yote natuangalie kwa mtazamo mwingine hiki kitu kinachoitwa KIFO ili tuweze kuwa na ufahamu mwingine tofauti na ule tuliozoea kuwa nao huko nyuma kwa njia hii ile huzuni simanzi na majonzi kwa wapendwa wetu vinaweza kupungua na kutufanya tuishi kwa utulivu zaidi.
------------------------------
Si watu haba ambao hawatakubaliana nami kwa kile nitakachoandika hapa wengi watanihukumu kwa namna ya ajabu kabisa siwalaumu kwakuwa ni mazoea ya wengi kuwa wanafiki na waoga kupindukia, na kuwa na ile dhana ya kuwa kinachosemwa na wengi ndio sahihi ndio ukweli ndio uhalisia
Hatutaki kubadilika Hatutaki kujifunza mambo mapya hatutaki kusoma na kuzitafsiri hisia zetu za ndani kabisa kwa muktadha mwingine.

Tunakumbuka kusahau kuwa ni katika hizo hisia zetu za ndani kabisa ndimo kweli yetu inapotoka na kweli hiyo tunapobahatika kuifahamu hatuna budi kuitafsiri kwa wengine bila woga wala kuficha ficha hata kama tutaitwa majina yote mabaya na kuonekana tunakwenda kinyume na kanuni za kutunga za mwanadamu.
****************************

Sehemu ya pili

Kifo kwa tafsiri ya rahisi na iliyozoeleka kwa mwanadamu si neno zuri si neno la kuvutia wala kutajwatajwa hovyo ni neno lililonakshiwa kwa vikolombwezo vyote kwa kutisha na kuogofya sana lakini Kifo ni jambo bora na la bahati nadra kutokea, kifo ni daraja la kuvukia kwenda kwenye hatua nyingine ya maisha ya juu zaidi mepesi zaidi mazuri zaidi! Kifo ni mwendelezo wa uumbaji ni kama tunaposema elimu haina mwisho uumbaji nao hauna mwisho.
Kaka.nimekusoma
 
yaani kufa ni stage kivp??
navonua mm kufa ni ukomo wa maish ya mtu hap dunian
.ambapo hulal akisubili hukum ya siku za mwisho
kutok kwa Mola ikiwa alitenda mema atahukumiw kwa mem
vivo hvo na kwa mabaya
Maandiko matakatifu yanasema hakuna aliye mwema hata mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom