Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

Duuh xawa bhana mkuu lkn ni umexoma mahali, umehadithiwa, ni utafiti au kuna ushahidi wowote?
Dah hizi X zako zimenikumbusha kitu kule Facebook... Anyway sijaxoma popote xjahadithiwa.. Ni maarifa binafsi... Ushahidi ni makala yenyewe pamoja nani mwenyewe
 
5014d9d433ddf133e9b8246b8ec1dd9c.jpg
 
Hii mada ni yakuobesha insanity ya mwandishi. Yaani jamaa ana akili mpaka zimempa ukichaaa...
 
Hahaha Mshana Jr hivi nawewe utakufa?! Unayajua sana haya mavitu, ukisepa nami nipe ma ujanja nisepe.
 
Hahaha kuna mzushi anasema mmecheza naye chandim lakini yeye sasa ana miaka almost karne moja kasoro 10 lakini wewe mhmm, anasema that guy doesn't age. Unatisha au ndio mambo ya miracle cure!?
ni nani huyo!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom