Hahaha hizo nguo zake au mwili mbona jeneza fupi kuliko hata Steve Nyerere?!Our true nature![]()
lakini lazima ufe ndiyo uende mbinguni?Kuishi ni Kristu kufa ni faida. Kweli kuna watu hawataki kusikia habari za kifo lakini wanatamani kwenda mbinguni.
Hahaha hata ukifa huendi mbinguni, mpaka siku ya ufufuko. Kwa wenye imani, yesu alisema anaenda mbinguni kuandaa makao, atakaporudi sasa ndio wale watakao kuwa wamekufa watafufuliwa kuface hukumu ,ukiwa bado upo pia siku hiyo utaface hukumu, baada ya hapo sisi watakatifu njia moja kwa mshua, wale wengine wanaokesha kona bar mtafuata uelekeo wa Jecha.lakini lazima ufe ndiyo uende mbinguni?
i mean naomba nikuulize kitu hapa though ni nje ya mada....imeandikwa hakika mkiula mkate huu na damu yangu hamtakufa bali mtaiishi milele,,,,,,,,,,,na ile ya wayahudi,,,,, baba yenu walikula mana(CHAKULA KUTOKA MBINGUNI) lakini walikufa this means walipaswa wasife baada ya kula kile chakula au sio? so tunakosea mahala fulani ndo maana tunakufa otherwise do deathHahaha hata ukifa huendi mbinguni, mpaka siku ya ufufuko. Kwa wenye imani, yesu alisema anaenda mbinguni kuandaa makao, atakaporudi sasa ndio wale watakao kuwa wamekufa watafufuliwa kuface hukumu ,ukiwa bado upo pia siku hiyo utaface hukumu, baada ya hapo sisi watakatifu njia moja kwa mshua, wale wengine wanaokesha kona bar mtafuata uelekeo wa Jecha.
Hii ndio Jf nnayoijua aisee.Ninakubaliana na wewe kwa jinsi ulivyofafanua,japo picha zako nmeshndwa kuzioainisha na maelezo yako mazur.
Mimi uwa nawambia watu kwenye misiba,hatupaswi kuumiza nafsi zetu kwa maskitiko.
Binadamu tunapaswa kupita katika Ulimwengu wa aina 3;
1.Ulimwengu wa Tumbo la mama
2.Ulimwengu wa Dunia.
3.Ulimwengu wa Roho,ambapo kuna sehemu mbili jehnamu na Mbinguni kwa mjibu wa maadiko.
Tungekuwa tunaishi kwa pamoja katika Ulimwengu wa Tumbo la Mama,alafu akaondoka mwenzetu kuja Duniani kwa kuzaliwa tungekuwa tunalia mwenzetu katutoka,kumbe yupo anadunda dunian na kupewa upendo wa baba na mama.
Kila Ulimwengu tunaotakiwa kwenda unaconditions zake hata wanasayansi wanakubaliana na hilo.Mfano ili uishi Ulimwengu wa Tumbo la mama ambapo kipindi chake ni miez 9,na vazi la mwili utengenezwa hapo kwa ajili ya ulimwengu wa Dunia,huitaji kusumbukia mahitaj ya mwili.
Tunapokutana katika Ulimwengu wa Dunia hatujisumbui kufikiria ulimwengu tuliotoka na tulikuwa tunaishi vip kwa sababu ufahamu huo unafungwa na tunafurahia ulimwengu wa Dunia kiasi kwamba tunakoswa raha kabisa tukisikia kufa.Hakuna aliyetayari kufa au kwa maneno mengine kuzaliwa tena katika ulimwengu mwingine.
Ulimwengu wa Roho ahuitaji twende na Mwili bali nafsi,na kama mwili unavyoumbwa ndani ya ulimwengu wa Tumbo la mama,ndivyo tunavyoumba sisi wenyewe kwa utashi nafsi zetu vazi la UZURI au UBAYA ampapo vazi utakolovaa litakuelekeza katika Ulimwengu wa Roho nzuri au Mbaya.
Kila Ulimwengu tunaopitia tunakuwa na uwezo tofauti kabisa,kwa maana ya nguvu ya kufikir na kutenda.
Katika Ulimwengu wa Roho,tunakuwa katika ulimwengu ambao tuna nguvu zaidi na za hali ya juu na tunaweza kutawala na kurudi katika ulimwengu wa Dunia kwa namna tunavyopenda ikitegemea ni kwa Uzuri au Ubaya.Ndio chanzo cha wengine kuanza kuamini Roho za mababu au mabibi wengine wanaita mizimu kutokana na znapotoka.Kumbuka Shetan ndie anajiita mtawala wa ulimwengu wa Roho Mbaya,na Mwenyez Mungu kajpambanua katika Roho nzuri na ndie muumbaj wa Limwengu zote .
Roho iliyo nje ya mwili uweza hata kusafir kwenda Marekani kwa sekunde,uweza kuingia kwa kiumbe yeyeyote na uweza kujigawanya kama kirusi cha ukimwi .Roho ya wizi ni Roho moja lakini yaweza kuingia kwa watu 1000 na wote wakaitwa wezi.Roho zetu ambazo zinaitwa nafsi hapa duniani zimepewa uwezo mdogo sana kutokana na kuwa ndani ya mwili.

Sasa full stop si ndio ukomo wa kitu?Hamna sanaa ya kifo.
Neno kifo linatokana na neno la Kiarabu "qif". Likimaanisha "full stop".
Watu wengi wanachanganya kifo na umauti, ni vitu viwili tofauti.
Unaweza wewe mwenyewe kufa au kiungo chako kikafa lakini haujauonja umauti.
Nafsi ndiyo huuonja umauti na hakuna nafsi itakwepa hilo.

hivyo hivyo kifo ni ukomo wa uhai.
Naomba nisaidie kujibu hapa... Mwili wa nyama ndio hauna maisha ya milele huu ni wa muda tuu.. Kinachoishi milele ni roho.. A soul once created cannot be destroyedi mean naomba nikuulize kitu hapa though ni nje ya mada....imeandikwa hakika mkiula mkate huu na damu yangu hamtakufa bali mtaiishi milele,,,,,,,,,,,na ile ya wayahudi,,,,, baba yenu walikula mana(CHAKULA KUTOKA MBINGUNI) lakini walikufa this means walipaswa wasife baada ya kula kile chakula au sio? so tunakosea mahala fulani ndo maana tunakufa otherwise do death
nashukuru sana mzee wa rombo (kibo) so kutokana na hizo verses maana yake kwamba roho pia za hawa zilikufa according to maandishiNaomba nisaidie kujibu hapa... Mwili wa nyama ndio hauna maisha ya milele huu ni wa muda tuu.. Kinachoishi milele ni roho.. A soul once created cannot be destroyed
Hapana uzima wa milele unaoongelewa ni ule kati ya paradiso na kuzimu... Hakika hautakufa... Yaani roho haiendi kuzimu/jehanum bali utaishi milele... Dhana ya paradisonashukuru sana mzee wa rombo (kibo) so kutokana na hizo verses maana yake kwamba roho pia za hawa zilikufa according to maandishi
Mkuu,kifo mtihani wa kukutoa daraja moja to jingine.haijalishi umekufaje.anachomaanisha mshana kuna maisha mengine katika umbo jingine baada ya maisha yetu hapa duniani kukoma.Mshana kafanya rejea maandiko ya kishetani na imani mbalimbali ambazo sisi binaadam tunaamini ambazo kwazo kifo ni hatua mpya ya kuingia ulimwengu mwingine.SWALA LA UISHIJE ILI UJUE UTAENDA WAPI HII NI HIARI YAKO MKUU.kikubwa jua imani zote mpaka za kishetani zinakir kuwepo maisha baada ya kifo katika umbo jipya.Tumia akili yako vizuri.
Ktk maelezo hayo yote ni ujumbe upi unataka kutuaminisha?
Hizo ntantalila... Zote zinatokana tafit zip za post life?
Information zilizopo kwenye vitabu vya imani at least zimefafanua two destinations i.e peponi na jehanamu japo detail zinatofautiana za yatakayofanyika peponi.
Japo wanakubaliana jehanamu is all about mateso.
Ungetumia akili yako kuwasahidia binadamu namna ya kuipata destiny njema ningeona unaitumia akili yako vixuri.
Kuliko kuwafundisha paradoxical destination of another life without clues of wht kind of life.
Unajitia kumkataa Mungu huku hekima yako haitoi mbadala .
Nikusihi tu. Tumia akiri yako vizuri
ahaaa nimekusoma kaka asanteHapana uzima wa milele unaoongelewa ni ule kati ya paradiso na kuzimu... Hakika hautakufa... Yaani roho haiendi kuzimu/jehanum bali utaishi milele... Dhana ya paradiso
Jamiiforums ni sehemu ya kaliba ya watu wa madaraja mawiliMkuu,kifo mtihani wa kukutoa daraja moja to jingine.haijalishi umekufaje.anachomaanisha mshana kuna maisha mengine katika umbo jingine baada ya maisha yetu hapa duniani kukoma.Mshana kafanya rejea maandiko ya kishetani na imani mbalimbali ambazo sisi binaadam tunaamini ambazo kwazo kifo ni hatua mpya ya kuingia ulimwengu mwingine.SWALA LA UISHIJE ILI UJUE UTAENDA WAPI HII NI HIARI YAKO MKUU.kikubwa jua imani zote mpaka za kishetani zinakir kuwepo maisha baada ya kifo katika umbo jipya.
Swali zuri sana tusubili majibu.Mkuu Mshana jr,kwahiyo mtoto mchanga anae zaliwa nakufa, anakuwa amefaulu mtihani kwa haraka?.Vipi anae fariki ktk umri wa Miaka 90,je amechelewa kufaulu?.
Inasemekana siku hizi watu wanakufa angali bado vijana.Je hii inamaana siku hizi watu wanafaulu mtihani wa kifo mapema zaidi?,je hii maana yake kizazi hiki ni kizazi bora zaidi kuliko vizazi vilivyo pita?.
Duuuu,natamani kuifikia hiyo PhD.mtoto wa mjini hii kitu ni kama tu ilivyo kwenye elimu kuna maelfu ya watoto wala hawajawahi kuonja Ladha ya elimu walikufa mapema kabisa wengine hawakumaliza elimu zao za msingi wengine secondary basi na kwenye sanaa ya kifo ni vivyo hivyo
Hao wa miaka 90 na ushee ndio wale ma PhD