Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

Kifo ni process its an arts...

Hivi vitu ukiingiza falsafa au dini tutakosa madaktari, tutakosa wanajeshi..

Sie tubaki kujua tu mifumo ya mwili ikisimama kufanya kazi kama inavyotakiwa huo ni mfu...
 
Hapa Kuna mtu kakumbushwa kifo,basi amewaka huyo,anajaribu kupoteza concept ya Mada,inaonyesha kuna watu hii Dunia wanai enjoy wakisikia kifo wanapata ganzi.
 
Wanasema kucheka, kulia zote ni kelele tu,kwa hiyo kifo na umauti vyote ni Sawa nionavyo mimi.
 
Uko sahihi kabisa mshana ss sote ni wapitaji na tunaendelea na uuumbaji tuendako lakin inategemeana na uchaguz wet hapa duniani kweli, bwana mtu anaogopa kufa wakati n sehem ya daraja kenda ng'ambo
Kesho nakuja kukuchinja!! Lazima utapata hofu!! So kifo hakizoeleki!
 
Kaka mshana endelea naona ndo kama umeanza vile bado hujafika kwenye kiini
 
Ttzo hizi thread nikikaaga baada ya muda napataga sana taabu kuzipata Nina scroll mpaka basi yani sjui kuna short cut ya kuzipata ?
 
mshana jr kwa mfano ukikaa kimya bila kumjibu FaizaFoxy ni nin kitatokea? Nadhani tutaendelea na mtiririko mzuri wa thread hii....Na mmalize hizi tofauti zenu sasa inakuwa ni kuchokozana kama watoto wadogo, Haipendezi kabisa..
 
Wewe haya umeyatolea wapi? Au ulishawahi kuishi kabla nini?
 
mshana jr kwa mfano ukikaa kimya bila kumjibu FaizaFoxy ni nin kitatokea? Nadhani tutaendelea na mtiririko mzuri wa thread hii....Na mmalize hizi tofauti zenu sasa inakuwa ni kuchokozana kama watoto wadogo, Haipendezi kabisa..
manuu hii post ni yangu nisipojibu pale penye upotoshaji nitaonekana mimi ndio napotosha nikijibu matatizo huanzia hapo
 
Ni sawa mkuu ila kama mtu anakuja kishari siunampisha tu apite...Hapa JF ni kama tunavyoishi huku mitaani kuna mtu atakuja na kuanza kukutukana bila hata sababu we utakachofanya nikuachana nae kuepusha matatizo...Jaribu kumpuuzia huyo FaizaFoxy ataona aibu na kama ana mawazo tofauti na wewe aanzishe thread yake...Ni ushauri tu..
 
Nimekuelewa saana manuu shukrani
 
Tumia akili yako vizuri.
Ktk maelezo hayo yote ni ujumbe upi unataka kutuaminisha?
Hizo ntantalila... Zote zinatokana tafit zip za post life?

Information zilizopo kwenye vitabu vya imani at least zimefafanua two destinations i.e peponi na jehanamu japo detail zinatofautiana za yatakayofanyika peponi.
Japo wanakubaliana jehanamu is all about mateso.

Ungetumia akili yako kuwasahidia binadamu namna ya kuipata destiny njema ningeona unaitumia akili yako vixuri.
Kuliko kuwafundisha paradoxical destination of another life without clues of wht kind of life.

Unajitia kumkataa Mungu huku hekima yako haitoi mbadala .

Nikusihi tu. Tumia akiri yako vizuri
 
Kwanza ungekuja na ID yako halisi to prove you are not coward
Pili ukiwa na multiple IDs badili na namna ya uandishi
Tatu hoja inajibiwa na hoja sio blah blah za kurukaruka kama bisi kikaangoni
Katika yote uliyoandika sijaona point yako ni ipi..zaidi ya vijembe mengine yote uliyoandika ni upuuzi mtupu
Hebu rudi kajipange upya
 
Post hii tu ndiyo mfano hai kwamba wewe una matatizo fulani, hauko sawa na unafaa kupishwa upite uende zako....

Tena JF kuna feature ya "ignore" unaweza kuitumia.
 
tayari niko maeneo tupia tuu

Isije kuwa nawe unatuaga kiaina! Just joking!.

Hapo chini umeniacha nyuma kidogo! Hao wanaofaulu inamaana wao vipi wanaozo hizo powers ?

Beyond powers natural superenergy which runs the universe
 
Hapana sio kwa muktadha huo.
Na siku nikitaka kuondoka nitawaageni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom