Sehemu ya pili
Kwahiyo hiyo kwa wale wafu ni kwamba wamekwenda kwenye hatua nyingine ya maisha wameingia kwenye daraja lingine wamefaulu mtihani wa kifo ndio maana wamevuka na kuendelea...kwahiyo kifo ni mafanikio....kwahiyo kama bado unaishi maana yake ni kwamba hujafikia hatua ya kwenda kifoni au umefeli mtihani wake...![]()
Hapa duniani tupo binadamu tunaokadiriwa kufikia bilioni sita wake kwa waume ni katika dakika hizi zenye sekunde sitini masaa 24 siku Saba na miezi 12 watu hufaulu kuingia kwenye daraja lingine la maisha
Kifo ni siri kama ulivyo mtihani ni wale tu wanaofaulu ndio huifahamu siri hiyo...! Tumeshawahi kusikia watu wakisema kuwa Eti fulani kanusurika kifo! Huyu hajanusurika bali kafeli mtihani wa kifo
Siri iliyo wazi ni kwamba kila mwanadamu ana siku saa na dakika yake ya kufanya mtihani wa kifo kufaulu na hatimaye kuendelea mbele
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na kiasili.![]()
Kwenye mada nyingi tumeona uhayawani wa mwanadamu tumeona kwa sehemu kubwa jinsi kiumbe hiki kiitwacho binadamu kilivyo kipumbavu na kisicho na chembe ya uelewa kuhusu yale yatokeayo na ayafanyayo kila siku.
Binadamu anaongozwa na hisia zaidi ya vile avipendavyo kuliko uhalisia na uelewa wa yale yanayotokea kila sekunde kila dakika na kila saa ya pumzi yetu
si mara haba tumeona tumeona picha zinazowakilisha matukio mbalimbali ya kutisha na kusikitisha matukio ya ajali nk. Wengi tumeyaandikia maelezo ya mbwembwe kulingana na hisia zetu na umahiri wetu katika kuonyesha uchungu lawama hasira nk.
Matukio hayo ni wenzetu ambao tayari hatunao tena ni marehemu wameshamaliza safari yao hapa duniani na sasa wako mahali pengine wakipumzika au wakiendelea na safari yao lakini katika hatua nyingine.
Hawa tunawaita wafu, kila mmoja akiwa kafikia umauti wake kwa style yake.
Wengine kwa mateso makubwa wametuachia majonzi na huzuni ambazo zina chukua muda kufutika katika hisia na kumbukumbu zetu, lakini pamoja na hayo yote natuangalie kwa mtazamo mwingine hiki kitu kinachoitwa KIFO ili tuweze kuwa na ufahamu mwingine tofauti na ule tuliozoea kuwa nao huko nyuma kwa njia hii ile huzuni simanzi na majonzi kwa wapendwa wetu vinaweza kupungua na kutufanya tuishi kwa utulivu zaidi.
------------------------------
Si watu haba ambao hawatakubaliana nami kwa kile nitakachoandika hapa wengi watanihukumu kwa namna ya ajabu kabisa siwalaumu kwakuwa ni mazoea ya wengi kuwa wanafiki na waoga kupindukia, na kuwa na ile dhana ya kuwa kinachosemwa na wengi ndio sahihi ndio ukweli ndio uhalisia
Hatutaki kubadilika Hatutaki kujifunza mambo mapya hatutaki kusoma na kuzitafsiri hisia zetu za ndani kabisa kwa muktadha mwingine.
Tunakumbuka kusahau kuwa ni katika hizo hisia zetu za ndani kabisa ndimo kweli yetu inapotoka na kweli hiyo tunapobahatika kuifahamu hatuna budi kuitafsiri kwa wengine bila woga wala kuficha ficha hata kama tutaitwa majina yote mabaya na kuonekana tunakwenda kinyume na kanuni za kutunga za mwanadamu.
****************************
Sehemu ya pili
Kifo kwa tafsiri ya rahisi na iliyozoeleka kwa mwanadamu si neno zuri si neno la kuvutia wala kutajwatajwa hovyo ni neno lililonakshiwa kwa vikolombwezo vyote kwa kutisha na kuogofya sana lakini Kifo ni jambo bora na la bahati nadra kutokea, kifo ni daraja la kuvukia kwenda kwenye hatua nyingine ya maisha ya juu zaidi mepesi zaidi mazuri zaidi! Kifo ni mwendelezo wa uumbaji ni kama tunaposema elimu haina mwisho uumbaji nao hauna mwisho.
Loveleads nimejifunza kitu kikubwa mno kwako kuhusu dunia tatu ya tumboni ya ulimwenguni na ya rohoni. ..umechambua kwa mapana yake...asante tenaNinakubaliana na wewe kwa jinsi ulivyofafanua,japo picha zako nmeshndwa kuzioainisha na maelezo yako mazur.
Mimi uwa nawambia watu kwenye misiba,hatupaswi kuumiza nafsi zetu kwa maskitiko.
Binadamu tunapaswa kupita katika Ulimwengu wa aina 3;
1.Ulimwengu wa Tumbo la mama
2.Ulimwengu wa Dunia.
3.Ulimwengu wa Roho,ambapo kuna sehemu mbili jehnamu na Mbinguni kwa mjibu wa maadiko.
Tungekuwa tunaishi kwa pamoja katika Ulimwengu wa Tumbo la Mama,alafu akaondoka mwenzetu kuja Duniani kwa kuzaliwa tungekuwa tunalia mwenzetu katutoka,kumbe yupo anadunda dunian na kupewa upendo wa baba na mama.
Kila Ulimwengu tunaotakiwa kwenda unaconditions zake hata wanasayansi wanakubaliana na hilo.Mfano ili uishi Ulimwengu wa Tumbo la mama ambapo kipindi chake ni miez 9,na vazi la mwili utengenezwa hapo kwa ajili ya ulimwengu wa Dunia,huitaji kusumbukia mahitaj ya mwili.
Tunapokutana katika Ulimwengu wa Dunia hatujisumbui kufikiria ulimwengu tuliotoka na tulikuwa tunaishi vip kwa sababu ufahamu huo unafungwa na tunafurahia ulimwengu wa Dunia kiasi kwamba tunakoswa raha kabisa tukisikia kufa.Hakuna aliyetayari kufa au kwa maneno mengine kuzaliwa tena katika ulimwengu mwingine.
Ulimwengu wa Roho ahuitaji twende na Mwili bali nafsi,na kama mwili unavyoumbwa ndani ya ulimwengu wa Tumbo la mama,ndivyo tunavyoumba sisi wenyewe kwa utashi nafsi zetu vazi la UZURI au UBAYA ampapo vazi utakolovaa litakuelekeza katika Ulimwengu wa Roho nzuri au Mbaya.
Kila Ulimwengu tunaopitia tunakuwa na uwezo tofauti kabisa,kwa maana ya nguvu ya kufikir na kutenda.
Katika Ulimwengu wa Roho,tunakuwa katika ulimwengu ambao tuna nguvu zaidi na za hali ya juu na tunaweza kutawala na kurudi katika ulimwengu wa Dunia kwa namna tunavyopenda ikitegemea ni kwa Uzuri au Ubaya.Ndio chanzo cha wengine kuanza kuamini Roho za mababu au mabibi wengine wanaita mizimu kutokana na znapotoka.Kumbuka Shetan ndie anajiita mtawala wa ulimwengu wa Roho Mbaya,na Mwenyez Mungu kajpambanua katika Roho nzuri na ndie muumbaj wa Limwengu zote .
Roho iliyo nje ya mwili uweza hata kusafir kwenda Marekani kwa sekunde,uweza kuingia kwa kiumbe yeyeyote na uweza kujigawanya kama kirusi cha ukimwi .Roho ya wizi ni Roho moja lakini yaweza kuingia kwa watu 1000 na wote wakaitwa wezi.Roho zetu ambazo zinaitwa nafsi hapa duniani zimepewa uwezo mdogo sana kutokana na kuwa ndani ya mwili.
aisee hapo kwnye ujumbe wa maamuz hayana sabb yoyote yamenikumbusha huku kitaan kwetu wiki ilopita kuna mzee alikutwa kajinyonga lkn miguu iko chini na hana uchafu wa aina yoyote af ujumbe aloacha una sababu moja ya kipuuz sana na nyepesi sanaSanaa ya kifo ni kitu cha ajabu mno ! wazungu kuna usemi maarufu wanapenda kuutumia unasema the night has a story to tell
Mazingira ya kifo cha binti aliyekinyonga bar hayaleti picha ya mtu aliyeamua kutoa uhai wake
Najaribu tu kuwaza kwa sauti
-ujumbe wa madeni na wadeni aliouacha
-ujumbe wa kusema ni uamuzi wake mwenyewe na usihusishwe na yoyote yule
-picha hazionyeshi hari za kifo cha surphocation
Tu assume kama ameuawa
-muuaji aliwaza nini?
-alimrubunije?
-zile dakika za mwisho zilikuwaje?
-yuko wapi kwa sasa?
-anajisikiaje?
View attachment 333588
maelezo murua kabisa haya mkuuNinakubaliana na wewe kwa jinsi ulivyofafanua,japo picha zako nmeshndwa kuzioainisha na maelezo yako mazur.
Mimi uwa nawambia watu kwenye misiba,hatupaswi kuumiza nafsi zetu kwa maskitiko.
Binadamu tunapaswa kupita katika Ulimwengu wa aina 3;
1.Ulimwengu wa Tumbo la mama
2.Ulimwengu wa Dunia.
3.Ulimwengu wa Roho,ambapo kuna sehemu mbili jehnamu na Mbinguni kwa mjibu wa maadiko.
Tungekuwa tunaishi kwa pamoja katika Ulimwengu wa Tumbo la Mama,alafu akaondoka mwenzetu kuja Duniani kwa kuzaliwa tungekuwa tunalia mwenzetu katutoka,kumbe yupo anadunda dunian na kupewa upendo wa baba na mama.
Kila Ulimwengu tunaotakiwa kwenda unaconditions zake hata wanasayansi wanakubaliana na hilo.Mfano ili uishi Ulimwengu wa Tumbo la mama ambapo kipindi chake ni miez 9,na vazi la mwili utengenezwa hapo kwa ajili ya ulimwengu wa Dunia,huitaji kusumbukia mahitaj ya mwili.
Tunapokutana katika Ulimwengu wa Dunia hatujisumbui kufikiria ulimwengu tuliotoka na tulikuwa tunaishi vip kwa sababu ufahamu huo unafungwa na tunafurahia ulimwengu wa Dunia kiasi kwamba tunakoswa raha kabisa tukisikia kufa.Hakuna aliyetayari kufa au kwa maneno mengine kuzaliwa tena katika ulimwengu mwingine.
Ulimwengu wa Roho ahuitaji twende na Mwili bali nafsi,na kama mwili unavyoumbwa ndani ya ulimwengu wa Tumbo la mama,ndivyo tunavyoumba sisi wenyewe kwa utashi nafsi zetu vazi la UZURI au UBAYA ampapo vazi utakolovaa litakuelekeza katika Ulimwengu wa Roho nzuri au Mbaya.
Kila Ulimwengu tunaopitia tunakuwa na uwezo tofauti kabisa,kwa maana ya nguvu ya kufikir na kutenda.
Katika Ulimwengu wa Roho,tunakuwa katika ulimwengu ambao tuna nguvu zaidi na za hali ya juu na tunaweza kutawala na kurudi katika ulimwengu wa Dunia kwa namna tunavyopenda ikitegemea ni kwa Uzuri au Ubaya.Ndio chanzo cha wengine kuanza kuamini Roho za mababu au mabibi wengine wanaita mizimu kutokana na znapotoka.Kumbuka Shetan ndie anajiita mtawala wa ulimwengu wa Roho Mbaya,na Mwenyez Mungu kajpambanua katika Roho nzuri na ndie muumbaj wa Limwengu zote .
Roho iliyo nje ya mwili uweza hata kusafir kwenda Marekani kwa sekunde,uweza kuingia kwa kiumbe yeyeyote na uweza kujigawanya kama kirusi cha ukimwi .Roho ya wizi ni Roho moja lakini yaweza kuingia kwa watu 1000 na wote wakaitwa wezi.Roho zetu ambazo zinaitwa nafsi hapa duniani zimepewa uwezo mdogo sana kutokana na kuwa ndani ya mwili.
Ifike mahali usilete ujuaji wa kipuuzi Kama hujui tulia kinachokufa ni kile chenye roho...eti kiungo kinakufa hivi unajua nini maana ya kufanana lakini.. Kasome lahaja za lugha upate tofauti ya kufa na mautiHamna sanaa ya kifo.
Neno kifo linatokana na neno la Kiarabu "qif". Likimaanisha "full stop".
Watu wengi wanachanganya kifo na umauti, ni vitu viwili tofauti.
Unaweza wewe mwenyewe kufa au kiungo chako kikafa lakini haujauonja umauti.
Nafsi ndiyo huuonja umauti na hakuna nafsi itakwepa hilo.
Ifike mahali usilete ujuaji wa kipuuzi Kama hujui tulia kinachokufa ni kile chenye roho...eti kiungo kinakufa hivi unajua nini maana ya kufanana lakini.. Kasome lahaja za lugha upate tofauti ya kufa na mauti
Hahaaa ona ulivyo boya tafsiri lugha za watu katika uhalisia wake na si hicho kiarabu chakoUliko kopi ukajaribu kutafsiri kijinga kijinga penyewe hawaelewi kifo na umauti.
Umauti ni haki, it's being into another state. Kifo ni cease of existence.
Ni vitu ambavyo vipo nje kabisa ya uelewa wako kwani elimu hiyo hawajaaliwi ila wachache na kwa uchache.
Kujaribu kukupa mtu kama wewe darsa ya kifo na mauti ni kama kumpigia mbuzi gitaa.
Punguani wahed.
Hahaaa ona ulivyo boya tafsiri lugha za watu katika uhalisia wake na si hicho kiarabu chako
Ulinipinga Kwenye mada yangu ya reincarnation leo unalamba matapishi yako hivi unajua Kwa hakika nini maana ya being into another state? Your thinking ability is too shallow
Mshana uwe una nitag kwenye mada zako zoteHahaaa ona ulivyo boya tafsiri lugha za watu katika uhalisia wake na si hicho kiarabu chako
Ulinipinga Kwenye mada yangu ya reincarnation leo unalamba matapishi yako hivi unajua Kwa hakika nini maana ya being into another state? Your thinking ability is too shallow
allydou these stinkers sometimes are funny stupid creatures wanajifanya wanajua lakini wanaungua juaMshana uwe una nitag kwenye mada zako zote
Elimu Haina mwisho, acha tujifunze na hayo mengine, then tutaconclude baadae.
Si vizuri kujipa limitation ya knowledge.
Na anaeona mada hizi ni za uongo, za kijinga, za kipuuzi etc. ni vyema akazipotezea tu, kuliko kuanzisha malumbano yasiyo na maana.
Kuwa member wa jf, haimaanishi kwamba unalazimishwa kusoma kila mada inayowekwa humu.
Personally, Kuna mada nyingi sana humu jf huwa wala sihangaiki kuzifungua. Come one guys.