Hapa utasababisha watu waanze kupenda kufatumezaliwa kwenye mpango wa wanagi. Wanagi ni kama roho kutoka kwenye nyota. Tunapomaliza mizunguko yetu ya maisha duniani tunasafiri kurudi kwenye nyota ya asili yetu. Safari hii ya epic inajulikana kama kurejea asilini. Tunarudi nyumbani - kwa Taifa la Nyota.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana hii mada ungeileta Jumatatu sio kwa weekend kabisaaa...
aiseee
JF Ni zaidi ya chuo kikuu🤣🤣🤣🤣🪑🪑💺masomo ya nayo zidi visomo vya chuooni ndo yanapatikana umu jf?
Nitarudi kusoma