Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

Mshana hii mada yako imenifanya kufikiria mbali Sana hususan hili swala la kifo.. kuna mambo yaliyotokea kipindi kifupi hapa nyuma kwa kweli akili yangu iligoma kabisa kuyachukulia kuwa ni kitu cha kawaida na hivyo nikajikuta nimezama katika mawazo ya kufikiria ni kwa nini yametokea kwa style hiyo: nitakumbushia mambo 2 tu ambayo niliyafikilia kwa jicho la kutafakari sana. 1: nafikiri wote mtakumbuka Vifo vya watoto wale wa shule kule Arusha!! Walifariki eneo linaitwa RHOTIA..hii kitu haikuwa ya kawaida ila wengi walichukukulia kawaida Sana kwangu mimi ilikuwa tofauti Sana kimtazamo.
2: kama pia mtakumbuka kuna ajali ya ndege ndogo ilitokea katika mbuga ya Ngorongoro eneo la empakai na kuua watu wote kwa idadi 11! Hiki kitu pia hakikuwa cha kawaida katika ufikiri wangu kumbuka kuwa ndege ya hiyo kampuni iliyopata ajali wiki mbili kabla ya hiyo ajali iliyouwa idadi hiyo ya watu ilipata ajali tena ndani ya mbuga ya serengeti na ilikuwa na idadi ya watu 11 lakin wote walinusurika..na wk mbili mbele ndo ikapata ajali na kuuwa idadi ile ile ya watu walionusurika mwanzo..! Hivi vitu huwa vinaushughulisha ubongo wangu Sana kupita maelekezo.
 
Mmh kuna kitu hapo si cha kawaida kabisa hasa kwenye hilo la ajali ya ndege....
. Ajali ya kwanza kunusurika wote 11
. Ajali ya pili kufa wote 11
Kama ukiwa mpekuzi zaidi unaweza kukuta hata siku zilifanana na muda pia
 
Mbona sijakuelewa naona kama umeishia njiani mkuu yani headline Imekuwa nzito maelezo yamekuwa mepes Na ya haraka sana
Umesoma part zote tatu? Umesoma kwa makini? Kwenye sanaa ya kifo ulitegemea nini zaidi ambacho sikukiandika?
 
42b8b83cf66551f49a40c8a4086ea79f.jpg
uhayawani wa kiumbe kiitwacho mwanadamu, mnyama hawezi kufanya haya...nini basi maana halisi ya maisha? Sanaa ya kifo ina mengi ya kutafakari...!kwanini kwenye maisha kuwe na vitu vya kuumiza kiasi hiki ? kwanini mmoja aishi maisha ya raha kuanzia kuzaliwa mpaka kifo wakati mwingine akiishi maisha ya mateso kuanzia kuzaliwa mpaka kifo? ??
Mkuu mshana na hapa ndo tunapojiuliza lile swali pendwa ambalo wengi hawapendi tujiulize wala tulifikirie.

Uweza, uwezo, busara hekima, huruma ukuu na uwepo wa Mungu.

Lama aiai wote ni Wake kwanini gaúcha haha yakatokea kwa wengine na wengine yasiwatokee

Mfano Maskini wa kutupwa na tajiri wa kutupwa ukimwi na kansa ajali za magari na matetemeko ya ardhi, ajali za moto.

Kuna mtu mmoja ni tajiri sana kila anachokiitaji hukupata ndani ya muda sahih,i hula vyakula mpaka anasaza na kutupa, ananunua magari ya kifahari, majengo, mavazi ya kila aina, na kuna uyu maskini wa kutupwa kabisa anakosa ela ya kununua panadol akiumwa, hawezi kujilipia pango la sehemu ya kuishi, anakosa chakula na anaishia kula majalalani vilivyotupwa na matajiri .

My take

Huwezi kusema kuwa eti Mungu ameumba ivyo ili kutupa funzo apana, coz uyu tajiri hakujichagulia kuwa nikizaliwa niwe tajiri apana hii coincdence ambayo ameikuta duniani na ivyo mungu hawezi kusema kuwa uyu mtu yeye akishafariki ndo atapata mateso yake kwa duniani alikula raha apana na vile vile kwa maskini hakujichagulia kuwa nikizaliwa duniani niwe maskini yeye amezaliwa akaikuta hii hali automatical na ivyo mungu hawezi kusema uyu maskini akisha kufa ndo atakula bata maana duniani aliteseka sana apana coz ata maskini hakuchagua kuwa tajiri ivyo huwez kumuadhibu maskina wala tajiri.

Sasa basi swali langu kwanini huyaacha haya yote yatokee nini faida na sababu zake apa duniani i.e kutuletea jiwe while he/she know atatufanya tuishi in starvations life
 
Hivi kuna uhusiano kati ya kuzimia na kufa? Kwani binafsi katika maisha yangu nimewahi kuzimia mara mbili katika mazingira na matukio tofauti lakini sikuona chochote ktk muda huo.
 
Mshana naitaji ujibu comment yangu tafadhali sana ndugu yangu mshana naitaji mchanganuo wako kwenye iyo comment yangu
Nitakujibu kwa kutulia usiku usijali kabisa
 
Hivi kuna uhusiano kati ya kuzimia na kufa? Kwani binafsi katika maisha yangu nimewahi kuzimia mara mbili katika mazingira na matukio tofauti lakini sikuona chochote ktk muda huo.
Kuzimia ni sawa na kuzima gari
Kufa ni sawa na kuchomoa terminal za battery kwenye gari
 
Kwamba ametokea mtu duniani, hatimaye mtu huyo akafa, ikathibitika kweli amekufa....

Then mtu huyo akafufuka, ikathibitika ndiye yule aliyekufa, akatupa hadithi za mahala alipokuwa!

Huenda tukamsadiki, otherwise swala la kifo libaki kuwa 'gumbizi'
 
Tunakufa mara nyingi zaidi kabla ya kufa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom