Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

shukuru hukuwa na infinix ungeitupa chini.

wanaume zaidi ya 50 wameamua kuacha kazi nyingine na kukaa chini kutengeneza simu,usitegemee utakutana na takataka za ajabu humo ndani.

siku nimeenda dukani kwa mshikaji nikakuta jamaa ametoka kununua note 21 ultra,anamalizia setting aondoke nayo,nikaitizamaa kinyonge nikajipa moyo kwamba kikubwa uzima.
we jamaa kikubwa nini? Yani kinyonge mno.
 
shukuru hukuwa na infinix ungeitupa chini.

wanaume zaidi ya 50 wameamua kuacha kazi nyingine na kukaa chini kutengeneza simu,usitegemee utakutana na takataka za ajabu humo ndani.

siku nimeenda dukani kwa mshikaji nikakuta jamaa ametoka kununua note 21 ultra,anamalizia setting aondoke nayo,nikaitizamaa kinyonge nikajipa moyo kwamba kikubwa uzima.
amin mzee kikubwa uzima tu
 
Kwa bajet ya Laki tisa naomba mnishauri ninunue Samsung ipi.. Nataka flagship siyo midrange.
 
Kwa bajeti hiyo unapata Note 10, ila mimi nakushauri uchukue Note 9 mpya kabisa na utabakiza chenji. Hautajuta maishani mwako.
 
Simu ya siku nyingi hivyo hata sikushauri. Kwa hiyo bei tafuta A52.

“A” series thamn yake inashukaga faster, ina depreciation ya mwendo kasi...useful life yake ya hovyo san... fikiria A51 ukiuziwa leo unaitaka?
 
zote nzuri hazina shida ila S series ni Flagship bora achukue hiyo over Midrange A51 ambayo mda mfupi tu nayo itakuwa haina deal
Yes A series is better kama pochi inaruhusu A72 ni nzuri sana. Lakini sio Note wala S maana hizo labda uendane na speed yake. Otherwise utanunua refurbished tu.
 
S8, S9,S10,S20 pamoja na note series zake kwasasa hapa bongo mpya hupati utashikishwa refubrished ukiwa mzembe utauziwa refurb kwa bei ya mpya...

Ila hz A series mpya unapata na pia zina faida moja zinakaa na chaji
 
Wakuu, habari za jumapili?

Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.

Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.

Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa😂😂.

I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.

Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.

Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.

Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
Kwa issue ya camera, juzi Sony wame-anounce kitu kipya, Xperia Pro-i. Wenyewe wanasema kampuni nyingine zinatoa simu zenye camera. Ila Xperia Pro-i ni camera yenye simu. Ile i ina-stand for 'image'.
 
Wakuu, habari za jumapili?

Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.

Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.

Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa😂😂.

I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.

Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.

Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.

Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
nadhani note 20 ultra is better, by far and away

kwanza ina SD card
pili ina internal antenna
tatu ina peni
nne ni nyembamba na nyepesi
 
Back
Top Bottom