Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,289
16,973
Wakuu, habari za jumapili?

Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.

Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.

Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa😂😂.

I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.

Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.

Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.

Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
 
Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa.

Hizi mashine we acha tu, hakuna mpinzani
 
Umenunua kwa bei gani?
 
Kuna chuma kinaitwa Xiaomi mi 11 Ultra...

Weka mbali na watoto.
 
Wakuu hii Samsung A72 mnaionaje? Kwa bajeti yangu nataka nichukue hii kwanza..
 
Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengne kasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu
Bajeti ndugu,tunapenda kuishi humo lakini kama unavyojua mifuko na vipaumbele havilingani.
 
Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengne kasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu

shukuru hukuwa na infinix ungeitupa chini.

wanaume zaidi ya 50 wameamua kuacha kazi nyingine na kukaa chini kutengeneza simu,usitegemee utakutana na takataka za ajabu humo ndani.

siku nimeenda dukani kwa mshikaji nikakuta jamaa ametoka kununua s 21 ultra,anamalizia setting aondoke nayo,nikaitizamaa kinyonge nikajipa moyo kwamba kikubwa uzima.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom