Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

"nimenunua million 2.5"

ngoja nifanye hesabu ya gharama ya simu yangu infinix .

tsh 250,000 x10=2,500,000

mkuu heshima yako.
 
Kabisa...me huwa nashangaa mtu ananunua a72...phantom x...anaacha op 7 au op 8 au s10...note 10 ambazo performance zake unaweza tumia next few yrs to come
mkuu haya mambo ni yaa ajabu sana,sababu ya kwanza ni wafanyabiashara hawaleti vitu vizuri,ila vile ambavyo wanaamini vinanunulika na wateja.

tecno phantom x imetoka,kuna watu watainunua sababu hawajui kama kuna simu kali kuliko huo uchafu.

mimi nimetumia Op 3t,kila ninayekutana naye nikimwambia hii inaitwa one plus,anauliza samsung au huawei??hajui kama jina ndio limeisha hivyo.
 
Wakuu, habari za jumapili?

Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine.

Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka mapema sana.

Camera yake, aisee hii mashine inapiga picha kali kinoma. Mimi na ublack wangu kama kalio natoka na ublack wangu lakini naonekana bomba kabisa kama nimepigwa msasa.

I was wondering kama 2...m yangu inaenda bure lakini nimekubali hii kitu ina value for money.

Mimi ni Samsung die hard fan lakini hizi high ends zake zilikua zinaniangusha kidogo kwenye camera na kuna kipindi nilitamani kuagiza Iphone 12 pro max baadae nikaahirisha. Kwa hili Samsung watae ndelea kujihakikishia mwanachama wao sikimbii.

Naamini Samsung sasa wamejitoa kutoa vitu vimeenda shule, wamekubali kufanyia marekebisho makosa yao ya huko nyuma. Hope 22ultra itakua balaa.

Naomba kusema kwamba Samsung Galaxy S21 Ultra is an incredible piece of machinery. Those guys had put enough time and creativity to come up with this incredible piece of machinery.
Katika cm ninazo zkubar dunia samsung
 
Natumia Samsung A03S ...Ram 3gb storage 32gb kwa 350000 tuu.transformation from Tecno pavour 3air ..yenye ram 1gb storage 16gb ..najiona nimepiga hatua kubwa kwel
Kwa simu za adroid Samsung namkubali sana
ndiye mkubwa wao,wengine wanjitutumua tu.

na sasa ukitaka kujua umepoteza muda embu jaribu hata note 9 au s9 plus kwenda juu.
utakuja kunishukuru.
 
mkuu haya mambo ni yaa ajabu sana,sababu ya kwanza ni wafanyabiashara hawaleti vitu vizuri,ila vile ambavyo wanaamini vinanunulika na wateja.

tecno phantom x imetoka,kuna watu watainunua sababu hawajui kama kuna simu kali kuliko huo uchafu.

mimi nimetumia Op 3t,kila ninayekutana naye nikimwambia hii inaitwa one plus,anauliza samsung au huawei??hajui kama jina ndio limeisha hivyo.
Waafrika wengi sio watafiti ndo maana wanapigwa..mm niktaka kununua kitu chochote lazma nikisome mtandaoni nipite youtube then nifanye window shop...siwezi kupigwa kizembe zembe
 
mkuu haya mambo ni yaa ajabu sana,sababu ya kwanza ni wafanyabiashara hawaleti vitu vizuri,ila vile ambavyo wanaamini vinanunulika na wateja.

tecno phantom x imetoka,kuna watu watainunua sababu hawajui kama kuna simu kali kuliko huo uchafu.

mimi nimetumia Op 3t,kila ninayekutana naye nikimwambia hii inaitwa one plus,anauliza samsung au huawei??hajui kama jina ndio limeisha hivyo.
Nataka nijaribu OnePlus
Naanza na 5T
 
Tangu nianze kumiliki smartphone ni muumini wa Samsung tena flagship pekee.nilianza na s4,s5,note4,s6,s8+,s9+,na sasa Nina s10 ndogo.
Simu unatumia hadi unafaidi pesa yako.najichanga nivute s20 kabla ya s21 maana mimi natamani kila flagship niitumie
 
kuna namna ya kutohisi maumivu ya pesa,nayo ni kuitumia kununua kitu chenye thamni husika.

kama una hela aisee ifaidi tu,no way.
 
Kabisaa mkuu,utasikia mtu anasifia infinix hot 10 sijui common 16 namcheki hata simmalizi. Nabaki kujisemea moyoni kwamba laiti ungejua kuna simu za maana sana zaidi ya hizo.mimi nilianza kuingia jf kwa feature phone nikapata elimu toka kwa chief mkwawa na wengineo .nawashauri fanyeni utafiti Kayla ya kununua simu vinginevyo mtaangamia kwa kukoswa maarifa
 
Siku ikija nikanunua simu laki tatu. Naomba nieleweke nimesema nikinunua simu laki tatu na siyo ya laki tatu.

Sitakua nahangaika kukwangua vocha au kurushiwa vibandani mwendo ni kutumia na kuletewa bili mwisho wa mwezi.

Kununua simu kuanzia laki tatu halafu unahangaika kujua codes za gb za bei chee kwangu hapana.
 
Mkuu ukishamua na simu ya 2m huweki vocha, unanuweka bando la mwezi likiisha unanunua tena kutoka kwenye mpesa ama tigo pesa wallet.

Ila kuna kipindi nilikuw na S10+ na bado nikawa natumia university offer😂. Sema nilishaachana na huo utoto.
 
Hehehe ukawa mwanachuo
 
Siku ikija nikanunua simu laki tatu. Naomba nieleweke nimesema nikinunua simu laki tatu na siyo ya laki tatu.

Sitakua nahangaika kukwangua vocha au kurushiwa vibandani mwendo ni kutumia na kuletewa bili mwisho wa mwezi.

Kununua simu kuanzia laki tatu halafu unahangaika kujua codes za gb za bei chee kwangu hapana.
Povert Mindset..utaishi na njaa maisha yako yote. Jitahidi sana uwe na mitizamo ya Kitajiri hata kama huna kitu
 
Mkuu ukishamua na simu ya 2m huweki vocha, unanuweka bando la mwezi likiisha unanunua tena kutoka kwenye mpesa ama tigo pesa wallet.

Ila kuna kipindi nilikuw na S10+ na bado nikawa natumia university offer. Sema nilishaachana na huo utoto.
Hivi bado mnawaza vocha nyie jamaa, mimi naishukuru sana geopool maana inaniweka mjini sana.kwa wiki napata kama 6000 hivi na inanitosha kununua kifurushi cha wiki
Screenshot_20210909-152407.jpg
 
Back
Top Bottom