Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra.

Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena.

Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa anakuangalia tu.

Juzi baada ya Apple kutoa Iphone 14 nikawa naangalia reviews kadhaa online ikiwemo ya Iphone Diehard Bw. Mrwhoistheboss akikiri kwamba Samsung ila strong and advanced camera hardware ila ina weak system ya android ambao inashindwa ku optilmize sawa sawa picha.

Akaenda mbali na kusema Apple wana weaker camera hardware ila wana good software ambayo inawasaidia kubalance weakness za camera hardware.

Anyway, point yangu ni kwamba, be careful where you are.
 
Simu zote duniani zinatoka
-USA
-China
-Japan
-South Korea

Kwa hio Logic nchi zote duniani zisiongelee simu.
Mabingwa wa kukariri nyie hamuwezi lolote.

People are making business and you here cheering up their technology while you do nothing.

Ati oohh ina camera kali!! Tengeneza yako!

Nikiwa rais nitawatandika bakora kweli kweli... mijitu zombi zombi tu.
 
1. Watu wananunua kwa hela zao hawapewi bure wana kila haki ya kushabikia na kununua kitu wanachokipenda

2. Ni mjinga peke yake anaefikiri kwamba sababu sehemu fulani wanatengeneza simu basi watu wote nao watengeneze simu.

3. Kutengeneza simu sio Ujanja wengi wanaotengeza simu wana Mishahara mibovu, kuna watu wanaotengeneza simu wanalipwa hela mbovu kuliko walimu Tanzania.

Wanaopiga hela ama kuuza Hizo simu ni wale Wenye mitaji kama ilivyo sehemu yoyote duniani, Simu ni Biashara kama unga wa Ngano, Tambi, Nyama, Ving'amuzi etc

Mwenye mtaji anatengenenza anauza.
 
Ww umetengeneza nn hapo ulipo umezungukwa na product nyingi za nje unakaa kuwaza urais kweli jamii forum na machizi tunayo.Ww ungeanza kutengeneza hata kiswaswadu kazi kuwaponda watu wanao tupa elim hata tukienda kununua simu tujue ubora ww umekalia ujuaji takataka
 
Huyu ni kilaza mmoja hivi kavamia jf kila thread ana comment ujinga
 
Wasukuma mnapenda sana makamera.

Mtu akiwa na katekno chake anaita kijiji kizima kije kipige nae picha!

Fanya kazi KIJANA ... watu wanatengeneza pesa kupitia ujinga wenu wa kushabikia small teknologies....

Mikamera tu kutwa kuchwa upo whatsapp unapiga mapicha huku watu wanatengeneza pesa.

Hapa nakuamsha tu kutoka usingizini, you should thank me!

Nikiwa Rais nitawatandika viboko kweli kweli...
 
Nyie ndo mlikuwa wa kwanza kupelekwa Utumwani.
 
Video sawa ila voice nayo? Ama wameifake tu kwa juu?
Chief naomba nisaidie hapa kati ya hizi simu mbili ni ipi ina camera nzuri kuzidi mwenzake
Tecno camon 19 camera specs-64 MP Triple, f/1.7, 26mm (wide), 1/1.7'', 0.8µm, PDAF
-2 MP, f/2.4, (depth)
-QVGA selfie 16 MP, Single
Nokia X20 camera specs 64 MP Quad, (wide), PDAF
-5 MP, (ultrawide)
-2 MP, (macro)
-2 MP, (depth) selfie 32 MP, Single
 
Mkuu hizo Camera za Tecno nyengine zinajaza tu namba hapo, mfano hio Qvga camera ni 0.3MP haina kazi yoyote ipo tu kuonesha simu ina camera nyingi. Same kwa Macro na Depth kwenye Nokia.

So Hapo Tecno ni kama ina Camera moja tu na hio Nokia kama ina Camera 2 tu.

Kwenye Main sensor ngumu kujua hapo mpaka uone reviews, Gsmarena haja review simu zote mbili, na sifahamu site inayo review ambayo nitapata data za simu zote mbili.

Pia kama ni mpenzi wa camera zipo simu nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom