Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengne kasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu
Nilikua na milion 2.5 nikataka kununua macho matatu baadae nikafanya maamuzi magumu nimenunua vitoto vya nguruwe 50 ndo napambana navyo najua baada ya miezi 6 nikija kuwauza ntaingia befoward kutafuta BMW X 3
 
umefanya uamuzi uliopevuka,ila usisahau kutwambia vinakula kiasi gani kwa siku!!!
 
Hii si ni simu ya mwaka 2016?? au mimi ndio nimekosea??
Inawezekana. Kuna utofauti gani na hizi mnazotumia za sasa?. Simu nyingi tu za sasa hiv zinazidiwa uwezo kwa mambo kadhaa na C9
 
ukiona watu wanapambana na umasikini huwezi elewa

jaribu simu ya milioni 2.5 kwenda mbele utautukana umasikini kwa nguvu sana.
Kweli kabisa...enzi hzo natumia midranges nlikua sielewi utamu wa flagships ila siku nimeonja sitamani kurudi kwa midranges kabisa...tutafute ela
 
Back
Top Bottom