asahd
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 341
- 467
Mimi naweka ushahidi wangu hapa
Mwaka jana zilianza tetesi samsung ana outsource production ya simu zake za low end na midrange kwa Wintech kampuni inayotengeneza simu za xiaomi
Samsung reportedly in talks with Xiaomi's Wintech to manufacture Galaxy phones for China - Gizmochina
Tetesi zikawa kweli na A6 ikawa simu ya kwanza
Baada ya hapo simu nne zaidi wakapewa na tetesi za kuongezewa simu mbili zikawepo![]()
The Galaxy A6s is the first Samsung phone not made by Samsung
It’s manufactured by Chinese company Wintech, which also produces Xiaomi phones.www.theverge.com
Samsung’s ODM strategy boon for China’s Wingtech
Na wewe pinga na ushahidi wako.