iokote
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 601
- 875
- Thread starter
- #41
A10 kioo chake sio kizuri nadhani sio Super Amoled kwaio ukikutana na mtu mwenye simu yenye kioo kizuri utaona tofauti kwa ushauri nunua A20 ni 390,000
Yeah inatumia IPS LCD, ina tofauti gani katika ubora dhidi ya Super Amoled?
Naona ata iphone wanatumia hiyo hiyo IPS LCD.