Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Tarehe 10 juni 2019..nilichangia uzi huu...nilinunua A 20..nimeitumia mpaka leo bado naitumia. Nimetumiwa updates tarehe 29 july 2020. Nimepakua ime upgrade simu kutoka android ya 9 -10. Na kuiongezea features nyingi sana nzuri kama za kuzima simu na restart haina haja ya buttons tena na recycle bin kwa kila kitu..na features nyingi sana. My recommendation kwa wale wenye budget ndogo na mnataka simu nzuri angalieni hizi series za A's. Hutojutia hela yako. Kuhusu battery huwezi jutia kabisa.
 
unazimia na restart wapi??
 
Leo nimemnunulia mzee wangu Samsung M11, nimeipenda karibu kilakitu but camera naona kama ya kawaida
 
Tarehe 10 juni 2019..nilichangia uzi huu...nilinunua A 20..nimeitumia mpaka leo bado naitumia. Nimetumiwa updates tarehe 29 july 2020. Nimepakua ime upgrade simu kutoka android ya 9 -10. Na kuiongezea features nyingi sana nzuri kama za kuzima simu na restart haina haja ya buttons tena na recycle bin kwa kila kitu..na features nyingi sana. My recommendation kwa wale wenye budget ndogo na mnataka simu nzuri angalieni hizi series za A's. Hutojutia hela yako. Kuhusu battery huwezi jutia kabisa.
I second you
 
unazimia na restart wapi??
Hapo juu kwenye hicho kidude kama cha power button
Screenshot_20200703-224843.jpg
 
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.

Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
A 10 Sasa hivi kuna Mkubwa ake a10 s hutojutia mkuu laki tatu na nusu Ina finger print scanner, 2 gb ram 32 gb rom ....hutojutia mzee baba
 
A10s ni ndogo ya A10
Mkuu nimepitia comments zote za huu uzi. Swali langu ni dogo tu, nahitaji kujua uimara wa screen ya A10 na A10s. Je uimara wa screen ya hizi simu mbili uko sawa au unatofautiana?
Kwangu camera na gaming sio issue, hivyo hii brand inaweza ikanifaa.
 
Kama hujali gaming na nguvu ya simu A11 ina make sense zaidi,

Na uimara wa kioo zote zina kioo cha kawaida tu, itabidi uweke protector.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom