Samsung galaxy A10, 20, 50, 90.

iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
535
Points
1,000
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
535 1,000
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
 
Miss moro

Miss moro

Senior Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
113
Points
500
Miss moro

Miss moro

Senior Member
Joined Aug 9, 2016
113 500
A50 iko vizuri feature nyingi ina gorilla pia
A20 mdondoko mmoja wa maana kioo kwaheri
sema A50 bei mara 2 ya A20 ila iko vizuri zaidi ya sana specs kubwa bei nzuri kwa brand ya samsung
 
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Messages
393
Points
225
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2011
393 225
Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
 
Vamosdm05

Vamosdm05

Senior Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
116
Points
225
Vamosdm05

Vamosdm05

Senior Member
Joined Dec 4, 2018
116 225
Vp camera ya A20, iko vzuri asa ya mbele?
Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
 
Tish

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Messages
268
Points
250
Tish

Tish

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2014
268 250
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
Chukua tu hii brand ni nzuri sana.Uzuri wao kila toleo lina uzuri wake tangu ni tumie Samsung haijawai kuniboa
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,985
Points
2,000
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,985 2,000
A50 iko vizuri feature nyingi ina gorilla pia
A20 mdondoko mmoja wa maana kioo kwaheri
sema A50 bei mara 2 ya A20 ila iko vizuri zaidi ya sana specs kubwa bei nzuri kwa brand ya samsung
samsung wa ajabu sana, bei ya kioo ni sawa na bei ya simu
 
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
535
Points
1,000
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
535 1,000
Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
Aisee mkuu umenipa moto balaa. Asante sana kwa ushauri
 
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
535
Points
1,000
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
535 1,000
A50 iko vizuri feature nyingi ina gorilla pia
A20 mdondoko mmoja wa maana kioo kwaheri
sema A50 bei mara 2 ya A20 ila iko vizuri zaidi ya sana specs kubwa bei nzuri kwa brand ya samsung
Mkuu A50 budget yangu hairuhusu, hapo nataka nivute a10 tu.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,971
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,971 2,000
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.

Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,524
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,524 2,000
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
nikiona hiyo picha ya mwanangu Sankara dah naona ka nasoma makala yakeee, Bonge la viongozi waliowahi kupita, (picha inayoambatana na ID yako)
 
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
535
Points
1,000
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
535 1,000
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.

Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
Shukrani mkuu Mkwawa, unaposema kama simu zingine za Kichina una maana ni jamii ya tecno?
 
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
535
Points
1,000
iokote

iokote

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
535 1,000
nikiona hiyo picha ya mwanangu Sankara dah naona ka nasoma makala yakeee, Bonge la viongozi waliowahi kupita, (picha inayoambatana na ID yako)
Namkubali sana Sankara mkuu.
 
Black Dove

Black Dove

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Messages
321
Points
500
Black Dove

Black Dove

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2016
321 500
Wakuu habari,

Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.

Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.

Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.

Cc: wana jukwaa wote wa technology.
A series ya Samsung sio nzuri bro hailast. Tafuta S series utaenjoy
 
Forum statistics

Threads 1,304,895
Members 501,583
Posts 31,530,995
Top