Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Nana Samsung a70 s Haisomi laini siwezi kupiga wala kupokea simu majina ya nasoma hapa shida nn
Mwanzo ilikua vizuri bado mpya Nili I restore kuwasha laini azisomi
 
hizi simu ukirestore ndio zinaamka na kisanga hicho.

hamna ujanja zaidi ya kwenda kuflash kwa fundi.
sasa sijui hukuweka google ac ya mwanzo??
 
Nana Samsung a70 s Haisomi laini siwezi kupiga wala kupokea simu majina ya nasoma hapa shida nn
Mwanzo ilikua vizuri bado mpya Nili I restore kuwasha laini azisomi
Hizi simu zina warant ya miaka miwili nenda kabadilishiwe simu hiyo unapew mpya kbsa samsung hawan longo longo nend na warant yako upewe ki2 kingne kipya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom