Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Ndio ina line zote, yaani nikiweka sim data itumike tigo inakubali ila nikiselect ttcl haifanyi kazi
Na Apn umetengeneza upande wa TTCL? Pia ukiswitch data iende TTCL unachagua 4G iwe upande wa TTCL?
 
Na Apn umetengeneza upande wa TTCL? Pia ukiswitch data iende TTCL unachagua 4G iwe upande wa TTCL?
Ndio mkuu
Screenshot_20190703-223056_Settings.jpeg
Screenshot_20190703-223032_SIM%20card%20manager.jpeg
 
Hii a20 front camera yake iko blurry,ni nini inaweza kua shida,settings au ndo zilivo maana nahisi kizungu zungu hapa hata sielewi!
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife

Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
 
Hii a20 front camera yake iko blurry,ni nini inaweza kua shida,settings au ndo zilivo maana nahisi kizungu zungu hapa hata sielewi!
Mkuu jaribu kutumia 3rd party camera yoyote search play store camera.

Pia angalia Kama hujaziba camera na protector
 
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.

Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Naona 7 pro ni IPS vip haitakuwa ya kawaida sana kwenye display
 
Display haitakuwa nzuri Kama Super AMOLED (A30 kupanda) lakini still ni display nzuri maana ni Full HD.
Mkuu samahani sana nimeagizia redmi note 7 pro china nimeona ni Chinese version na hamna global ROM ikitua bongo ntaweza kutumia kwa mitandao ya kwetu huku au italeta shida....?

Na lugha si itakuwa kichina?
 
Lugha unabadili Haina neno na Hata version za kichina zinafanya huku sema Kuna uwezekano isifanye band zote za 4G, ila 3G na 2G fresh tu.

Ungeijua exactly model yake tungecheki frequency.
 
Lugha unabadili Haina neno na Hata version za kichina zinafanya huku sema Kuna uwezekano isifanye band zote za 4G, ila 3G na 2G fresh tu.

Ungeijua exactly model yake tungecheki frequency.
Aah sawa shukran mkuu

Sijajua exactly model bado sijawah tumia hizi brands
 
uwongo upi ukweli upi
wewe umezoea simu camera kari gb16 batter kutunza moto usharidhika lkn wanaojua simu 7bu wanajua kadri unavyojaza apps itakusumbua ndo mana ushauri simu zenye uwezo mkubwa kwa gharama nafuu
du unaandika kama STD 2 school girl
 
uwongo upi ukweli upi
wewe umezoea simu camera kari gb16 batter kutunza moto usharidhika lkn wanaojua simu 7bu wanajua kadri unavyojaza apps itakusumbua ndo mana ushauri simu zenye uwezo mkubwa kwa gharama nafuu
huu mwandiko hatari sana
 
Back
Top Bottom