Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

App zinafanya tu kitu kinaitwa media cast au mirror, yani una mirror videos, picha zilizopo kwenye simu labda sana baadhi ya app zina mirror youtube.

Lakini huwezi mirror screen ya Simu direct. Na hii media streaming au cast ya 3rd party ni complex sana, mpk ukonect kwenye same wifi network. Sio smooth. App zina zina delay, na ku crash ovyo ovyo.

Hata samsung anayo smart view app lakin inafanya hivyohivyo kustream video na media tu zilizoko kwenye simu. Huwez cast screen au app

Kwa mfano nataka kuchek app ya azam ilio kwenye simu iwe mirrored kwenye TV third party haziwezi
Simu zote zenye wifi zina huo uwezo kwanini usidownload tu 3rd party app store?
Tumia hii app Cast to TV.
 
Wataalam naombeni mnieleweshe kuhusu hii A10.
Mwanzoni nilitanani kuinunua kwa sababu ya bei na specs zake. Ila nilipoenda dukani nikakuta kati ya RAM yake ya 2GB nafasi iliyobaki kabla hata sijainunua ilikuwa 500MB manake imetoka kiwandani 1.5GB imedhajaa.

Nikafikiri kwamba nikiichukua baadae siku nafanya update ya apps inaweza kuniambia no space ikaleta shida kama za Tecno.

Maana kwa 500Mb kwa simu zetu hizi kila wiki updates sidhani kama itafika miezi minne haijajaa na kukosa nafasi ya kufanya updates zingine.

Je hii siyo shida kwa aina hii ys simu?
 
App zinafanya tu kitu kinaitwa media cast au mirror, yani una mirror videos, picha zilizopo kwenye simu labda sana baadhi ya app zina mirror youtube.

Lakini huwezi mirror screen ya Simu direct. Na hii media streaming au cast ya 3rd party ni complex sana, mpk ukonect kwenye same wifi network. Sio smooth. App zina zina delay, na ku crash ovyo ovyo.

Hata samsung anayo smart view app lakin inafanya hivyohivyo kustream video na media tu zilizoko kwenye simu. Huwez cast screen au app

Kwa mfano nataka kuchek app ya azam ilio kwenye simu iwe mirrored kwenye TV third party haziwezi
Umejaribu app hii?
Inatengeneza shortcut kwenda miracast menu hio unayohutaji.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
 
Wataalam naombeni mnieleweshe kuhusu hii A10.
Mwanzoni nilitanani kuinunua kwa sababu ya bei na specs zake. Ila nilipoenda dukani nikakuta kati ya RAM yake ya 2GB nafasi iliyobaki kabla hata sijainunua ilikuwa 500MB manake imetoka kiwandani 1.5GB imedhajaa.

Nikafikiri kwamba nikiichukua baadae siku nafanya update ya apps inaweza kuniambia no space ikaleta shida kama za Tecno.

Maana kwa 500Mb kwa simu zetu hizi kila wiki updates sidhani kama itafika miezi minne haijajaa na kukosa nafasi ya kufanya updates zingine.

Je hii siyo shida kwa aina hii ys simu?
Mkuu internal memory ni 32GB hivyo ukifanya updates still haitajaa. Usiwe na wasi wasi kuhusu hilo.

Tuje kwenye hio 2gb na free 500mb hio ni ram, huo ni uwezo wa kufungua vitu vingi kwa mpigo, ina maana ukifungua apps nyingi nyingi simu yako itakuwa slow kiaina. Hio ni simu ya kufanyia matumizi ya kawaida tu.
 
Asante sana Chief kwa ushauri wa kitaalam
Mkuu internal memory ni 32GB hivyo ukifanya updates still haitajaa. Usiwe na wasi wasi kuhusu hilo.

Tuje kwenye hio 2gb na free 500mb hio ni ram, huo ni uwezo wa kufungua vitu vingi kwa mpigo, ina maana ukifungua apps nyingi nyingi simu yako itakuwa slow kiaina. Hio ni simu ya kufanyia matumizi ya kawaida tu.
 
Natumia A30 km mwezi sasa, iko vizuri kwa kweli. Sijaona tatizo. Bei $200.
 
Haiwezi kukubali maana simu haina uwezo huo mkuu. No built in miracast ability.
Angalia
Umejaribu app hii?
Inatengeneza shortcut kwenda miracast menu hio unayohutaji.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
20190616_143705.jpeg
 
Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
S7edge bei gani?
 
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife

Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
J7 PRO Camera yake ya mbele ipo vizuri sana, betri chaji inakaa safi kabisa ingawa over time inapungua wakati naichukua chaji matumizi ya kawaida ilikua inasoma 20hrs ikiwa fully charged lakini sasa hivi inasoma 13h45 ikiwa fully charged hua situmii battery saver wala nini naitumia kavu kavu selfie yake ipo vizuri sana kwa asilimia kubwa nimepiga picha za selfie tu zipo vizuri sana..
 
Back
Top Bottom