Jamii ya kina xiaomi,Shukrani mkuu Mkwawa, unaposema kama simu zingine za Kichina una maana ni jamii ya tecno?
Mimi naweka ushahidi wangu hapaUyuu ni makerting wa REDMI so usitegemee kupata ukwelii hapaa
Mkuu nlkuwaa katika kutaniaa but still naona wanasema itakuwa samsung ile ile coz hataa apple mliwahii sema umu kuwa USA ni design ila watengenezajii ni ChinaaMimi naweka ushahidi wangu hapa
Mwaka jana zilianza tetesi samsung ana outsource production ya simu zake za low end na midrange kwa Wintech kampuni inayotengeneza simu za xiaomi
https://www.gizmochina.com/2018/09/...intech-to-manufacture-galaxy-phones-for-china
Tetesi zikawa kweli na A6 ikawa simu ya kwanza
Baada ya hapo simu nne zaidi wakapewa na tetesi za kuongezewa simu mbili zikawepoThe Galaxy A6s is the first Samsung phone not made by Samsung
It’s manufactured by Chinese company Wintech, which also produces Xiaomi phones.www.theverge.com
http://en.thelec.kr/news/articleView.html?idxno=350
Na wewe pinga na ushahidi wako.
Apple ana design mwenyewe kule inafanyika tu manufacturing, ODM stand for Original Design manufacture, hapa ina maana hata kwenye kudesign wintech anahusika.Mkuu nlkuwaa katika kutaniaa but still naona wanasema itakuwa samsung ile ile coz hataa apple mliwahii sema umu kuwa USA ni design ila watengenezajii ni Chinaa
Mimi naweka ushahidi wangu hapa
Mwaka jana zilianza tetesi samsung ana outsource production ya simu zake za low end na midrange kwa Wintech kampuni inayotengeneza simu za xiaomi
https://www.gizmochina.com/2018/09/...intech-to-manufacture-galaxy-phones-for-china
Tetesi zikawa kweli na A6 ikawa simu ya kwanza
Baada ya hapo simu nne zaidi wakapewa na tetesi za kuongezewa simu mbili zikawepoThe Galaxy A6s is the first Samsung phone not made by Samsung
It’s manufactured by Chinese company Wintech, which also produces Xiaomi phones.www.theverge.com
http://en.thelec.kr/news/articleView.html?idxno=350
Na wewe pinga na ushahidi wako.
Ila mkuu Xiaomi si moja ya best brand katika brand za smartphone za China.
Kwa hiyo sidhani kama hizi Samsung zitakuwa low quality kama hizo chinese zingine. Maana naona ata processor zake ziko vizuri ukilinganisha na product zingine za China.
Na pia kwa maelezo hayo wanasema lengo sio kushusha ubora wa Samsung ila kuwafikia watumiaji wengi wa smart phone.
Ivi Apple anatumia OIS ipi ChinaApple ana design mwenyewe kule inafanyika tu manufacturing, ODM stand for Original Design manufacture, hapa ina maana hata kwenye kudesign wintech anahusika.
uwongo upi ukweli upiUyuu ni makerting wa REDMI so usitegemee kupata ukwelii hapaa
uwongo upi ukweli upi
wewe umezoea simu camera kari gb16 batter kutunza moto usharidhika lkn wanaojua simu 7bu wanajua kadri unavyojaza apps itakusumbua ndo mana ushauri simu zenye uwezo mkubwa kwa gharama nafuu
bei yake ikoje mkuuHizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
A10 kioo chake sio kizuri nadhani sio Super Amoled kwaio ukikutana na mtu mwenye simu yenye kioo kizuri utaona tofauti kwa ushauri nunua A20 ni 390,000Mkuu A50 budget yangu hairuhusu, hapo nataka nivute a10 tu.
Ni kweli mkuu xiaomi wapo vizuri ila kuna vitu simu kama samsung wanakuwa vizuri kuliko Xiaomi, hivyo hizo advantage utazimiss. Na pia kuna advantage nyengine utazipata.Ila mkuu Xiaomi si moja ya best brand katika brand za smartphone za China.
Kwa hiyo sidhani kama hizi Samsung zitakuwa low quality kama hizo chinese zingine. Maana naona ata processor zake ziko vizuri ukilinganisha na product zingine za China.
Na pia kwa maelezo hayo wanasema lengo sio kushusha ubora wa Samsung ila kuwafikia watumiaji wengi wa smart phone.
Niaje wakuu, Nimetumia A50 4gb/128gb kwa takribani wiki ya tatu sasa. Nilinunua kenya.
Mazuri
1. Design nzuri
2. Kioo cha kisasa cha super amoled
3. Ina mambo mengi kama flagship brands ukizingatia bei yake. Kiufupi samsung linapokuja ishu ya software wako vizuri sana
4. inachaji kwa haraka sana. ndani ya dk 40-45 inakuwa imejaa
5. Storage kubwa ya 128gb
Mapungufu
1. Haikai sana chaji hasa ukiwa unatumia internet(light browsing mf twitter, whatsapp, ). Inashangaza ukizangatia ina battery kubwa ya 4000mah
2. Iko very delicate sana hasa kioo, inahitaji uangalifu mkubwa sana
3. Ubora wa camera uko chini sana. ila watu wengi wanashauri kuinstall GCAM ila sijaribu
Kwa mtumiaji wa simu ya kawaida ni sawa, ila ukiondoa swala la battery na camera ni simu nzuri sana kulingana na bei yake
Ni kweli mkuu xiaomi wapo vizuri ila kuna vitu simu kama samsung wanakuwa vizuri kuliko Xiaomi, hivyo hizo advantage utazimiss. Na pia kuna advantage nyengine utazipata.
Mfano.
-hii A10 ina core 2 kubwa za cortex A73 na core 6 ndogo za cortex A53, zamani simu za samsung zenye core kubwa ulikuwa unazipata kwa laki 8 kupanda, pia kupata simu ya samsung yenye internal 32gb kwa laki 2 na nusu ilikuwa haiwezekani, hivyo specs wise hizi simu zime improve sana.
-japo zime improve specification ila zime adapt mambo ya kichina, display yake ukiangalia kwa macho tu unaona sio top quality ya samsung tuliyoizoea zile icon rangi zimefifia na sio sharp, pia camera ni ya kawaida kama brand nyengine za kichina.
Ipo A10 hapa nyumbani nimechukua sample ya picha uone, kopo la dawa ya mbu hit, nimecompare na note 5.
View attachment 1124416
View attachment 1124414
Ukiangalia kwa haraka haraka unaona kama 10 ni nzuri hizo rangi, lakini unapocrop unaona utofauti kwenye note 5 unaweza soma hayo maneno wakati A10 inaonyesha kabisa haina details nyingi
View attachment 1124399
View attachment 1124400
Hizi ndio camera nyingi za simu za kichina zilivyo zinasaturate color na picha inaonyesha kama ni nzuri lakini inakuwa fake.
Ila still A10 ni simu nzuri bila wasiwasi ningenunua hii over something kama spark 7
Processor yange ina nguvu sana mkuu, ila ram 2gb tu, hakuna maajabu itakwama tu hasa vile umewahi tumia simu kama s7.Nimekupata chief, ila kwa hizo processor inawezekana iketa zile shida za tecno za ku stack?
Hapo ndo wasi wasi wangu kuhusu kukwama kwama ukitia app’s nyingi.