Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.

Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
Simu nzuri kwa sasa ni ipi kwa budget ya 350k?
 
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.

Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
 
Hivi ni kweli Samsung m-series ni kwa ajili ya India?
 
Ina ukubwa gani betri yake mah ngap
Samsung yangu j7 Pro kwa kweli suala la Chaji hii simu nime Yani nachezea kinyama lakini inatunza chaji balaaa... Hapa samsung wameweza kazi
 
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.

Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.

Mkuu Chief hizi Redmi zipo kweli Bongo? Au hakuna agent?
 
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.

Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Hii M20 nimeiona mlimani City, vipi iko poa?
 
Ngoja nitapita kuulizia, ina tofauti gani na A20?
-m20 ina battery kubwa zaidi 5000mah compare na 4000mah ya A20.
-kioo chake ni full hD 1080p, japo sio Amoled, compare na 720p ya A20.
-cat 12 lte mpaka 600mbps tofauti na cat 4 lte mpaka 150mbps ya A20, kuna baadhi ya mitandao itakuwa na speed zaidi.
-processor yenye nguvu kidogo.
-doly atmos.
 
Hapo nimekupata Chief!
 
Samahani mkuu naomba msaada wko,nimennua a20 ilana moana imenigomea internert ya ttcl nimeweka access point tigo inakubali ila ttcl imegoma.

Ina line 2, zote Tigo na TTCL zipo kwa pamoja? Huwenda imesetiwa kutumia line ya Tigo internet. Nenda kwenye sim management kisha seti TTCL ndio itumike.

Pia mahala ambapo TTCL hakuna mnara wanatumia Tigo hivyo hakikisha roaming ipo ON.
 
Ndio ina line zote, yaani nikiweka sim data itumike tigo inakubali ila nikiselect ttcl haifanyi kazi

Back
Top Bottom