GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,643
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,

Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??

Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale sirikali kuu ??
 
downloadfile.jpg
 
Hakuna alichofanya kwa Tanganyika zaidi ya kuimbambikizia nchi madeni, kuhalalisha ufisadi, rushwa vyeo kwa kujuana, kuongeza udini, ukabila, tozo, kodi na kuuza maliasili nyeti karibu zote za Tanganyika.
 
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,

Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??

Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale sirikali kuu ??
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Ndio ilikuwepo na hata kwenye uchaguzi mkuuu wa mwaka 1980 nyerere aligombea urais akiwa CCM
Nope ccm haikuwepo wakati nchi inapata uhuru, mpaka 1977, miaka 10 na badae ndio ccm inakuja nyerere alikuwapo madarakani

So nyerere ni different issue, mifumo haikuwa established kama sasa

Wa sasa hana excuse
 
Je 1980 hakukuwa na uchaguzi mkuu ?

Kama ulikuwepo Mgombea wa urais alikuwa nani, alikuwa chama gani na alipitishwa kwa mchakato gani kupata nafasi ya kugombea kupitia hicho chama chake ?

Kisha tujiulize kama ccm imeanzishwa 1977 sasa why iwe haipo mwaka 1980 ?
 
wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine,

Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ??

Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale sirikali kuu ??
Kwanini wamekiuka utaratibu?
Utaratibu ufuatwe kwa mtu kupewa form na kutafuta wadhamini.
 
Je 1980 hakukuwa na uchaguzi mkuu ?

Kama ulikuwepo Mgombea wa urais alikuwa nani, alikuwa chama gani na alipitishwa kwa mchakato gani kupata nafasi ya kugombea kupitia hicho chama chake ?

Kisha tujiulize kama ccm imeanzishwa 1977 sasa why iwe haipo mwaka 1980 ?
Wakati nyerere anagombea vyama pinzanzani vilikuwepo?
 
Umeleta ujanja wa kimantiki wa kuhamisha mada ( logical fallacy )

Hoja ya uzi huu haihusiani na chama cha upinzani chochote.

Na copy and paste heading ya uzi. Isome vizuri

" Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa uchaguzi, Je wameogopa nini kumshindanisha na wenzie ? "
 
Back
Top Bottom