PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya kijani na nafasi za upandaji miti.