Samahani kwa Kikwete na wana JF

KadaMpinzani na Mwafrika wa Kike,

Waheshimiwa kumbukeni hii sio MSN/AOL/Yahoo Chat, hii ni forum ambayo watu wengi wenye muda mfupi wa kupita huku kwa muda then waendelee na shughuli zao wanakuja kuangalia mambo ya maana ya ujenzi wa taifa hili maskini kabisa...

Cha kusikitisha mmeamua KUBAKA na KUNAJISI na KUFISAD forum hii... Acheni jamani... mengine endelezeni kwenye PM, mtakubaliana tu!!! Hapa hamtakubaliana maana kuna watu wanatia chumvi..

Narudia tena, "Jamani naamba tuache huu mjadala"
 
mwafrika wa kike bwana wewe umeeleweka, wasiotaka kuelewa wameze sumu wafe!!!! hata huyojk akiona msg yako naamini atakusamehe.. kwani nani hana makosa kati yetu????wacha wachonge tafadhali songa mbele.
 
Hivi kama mtu hutaki kusamehe si uache tu kumwaga emotions zako hapa?Na kama umesamehe si unakaa kimya?mbona tunapenda kufanya mambo madogo kuwa makubwa sana
 
mbona hasara yuko kimya???wasn't he supposed to apologize??if my memory is right huyu ndugu ndiye alianzisha hii habari ya picha za kikwete!!au yeye bado anashikilia wembe ule ule wa kuziweka??au yeye na mwafrika wa kike ni mtu mmoja??anamaanisha nini kukaa kimya??am curious!!
hasara vipi??una mtazamo gani???
 
Hizi picha si nzuri kuwekwa hadharani lakini ni fundisho tu kwa public figures wetu. Nakumbuka rais wa kwanza wa Czechoslovakia baada ya kutoka kwenye ukomunisti alisema kuwa"he has come to realise that for a public figure he can only enjoy his privacy in the toilet". Ni vema basi mtu anapofikiria kuingia kwenye siasa vema afagie njia yake huko nyuma au aache tabia hizo anapokuwa madarakani. There is always a price Tag.
 
Cha kusikitisha mmeamua KUBAKA na KUNAJISI na KUFISAD forum hii... Acheni jamani... mengine endelezeni kwenye PM, mtakubaliana tu!!! Hapa hamtakubaliana maana kuna watu wanatia chumvi..

Narudia tena, "Jamani naamba tuache huu mjadala"

Ahsante kwa hekima yako. Topic closed!

Thanks
 
tunataaaka picha zetu, tunataaaka picha zetu,,,, x 3 endeleen kuimba kawimbo katamu
 
yaani imefunguliwa kwa ajili ya kampeni zimeanza tena..?! hizi ni kapeni chafu za chadema! Admin ifungeni hii kama mnavyofunga thread zangu za kumsfia muheshimiwa rais
 
well well well
Kweli ukitaka kuuza utumbo, lazima unuke... huu mjadala umerudi kutokana na mbinu chafu zinazoendelea kwa sasa

mshahara wa dhambi ni mauti
 
INVISIBLE HII THREAD UFUTWE KABISA.. MIMI SIAMINI KAMA KWELI HIZO NI PICHA NA WALA SERVER HAIJAWA BUSY... KAMA FL KAWATUMIA WATU KWENYE EMAIL NAOMBA ISIHUSISWE NA JF MAANA HAPA HATUJADILI MAISHA YA WATU. .OTHER WISE NI GAME LINACHEZWA...nani anaweza kuwa na ujasiri wakumpiga jk picha hizo ni ndoto na hazito tokea kamwe...na wala mtu mwenye timamu hawezi kuweka picha mtu hapa jamani mmekuwaje nyinyi..? Invisible usiifunge naomba uifute...
 
Back
Top Bottom