Samahani kwa Kikwete na wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samahani kwa Kikwete na wana JF

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwafrika wa Kike, Nov 1, 2007.

 1. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ok,

  Jamani, nimepokea email na PM nyingi sana kuliko uwezo wa server yangu kubeba kuhusu hili swala la kuweka picha hapa za Rais.

  Naomba niseme kuwa, wingi wa email za kusikitishwa na kitendo cha kuweka zile picha hapa umezidi uwezo wangu wa kufanya kiburi cha ujana. Nakubaliana na wengi kuwa hakukuwa na maana yoyote ya kuweka zile picha hapa kwenye jamvi la jumuia.

  Ni kweli kuwa Kikwete ni rais wa Tanzania na pia ni Rais wangu.
  Nakiri kuwa nilikosea kuunga mkono uamuzi wa kuweka picha hapa na pia kuzisambaza kwa baadhi ya watu. Natumia bandiko hili kumuomba rais Kikwete msamaha rasmi kwa kuweka hapa mambo yake binafsi na yasiyostahili kuonyeshwa hadharani.

  Ikumbukwe kuwa huu msamaha ni kwa ajili ya picha na hizi habari za ngono na sio upungufu wa Kikwete wa kisiasa na kiuongozi.

  Jamani, naomba sana kwa wale niliowatumia picha wazitunze na wala wasizisambaze. Naomba pia samahani kwa wale waliopoteza muda wao kuja kuona picha hapa na kukuta kuwa server imezidiwa.

  Samahani kwa wana JF kwa kuwa mmoja wa watu waliosababisha JF kupotea kwa muda fulani. Nakubaliana na wale walioshauri from the begining kuwa nisiweke mambo hayo hapa na samahani sana kwa kutofuata ushauri wenu.

  Nimejifunza mengi kutokana na hili na natumaini kuwa wengi wetu tumejifunza kuwa makini. Mimi ni binadamu na kama kawaida ya binadamu, nakiri kukosea.

  Namuomba pia msamaha Mwanakijiji kwa yote yaliyotokea kwa upande wangu. Inasikitisha kuwa muda mwingi sana ulipotea wa kujadili maisha ya watoto wanaokufa kwa magonjwa yanayotibika na badala yake ukatumika kumjadili mtu binafsi na mambo yake afanyayo sirini.

  Masaa 24 yaliyopita yamekuwa mazito sana kuhimili. Naahidi tena kuwa sitatumia muda wangu wa thamani kujadili masuala ya binafsi na ya ngono za watu wazima.

  Naomba msamaha na nategemea kusamehewa. Hata hivyo nitaelewa pia kama wengine watachukua muda mrefu kunisamehe. Nawakumbusha wale wanaofikiri kuwa mimi ni mwendesha mambo hapa JF kuwa sina hata hisa moja ya kumiliki au kuendesha JF ingawa nasikitika iwapo chombo hiki kitazidiwa nguvu kwa mambo ambayo nimesababisha mimi.

  Kwa hili nawaomba msamaha rasmi Invisible na wenzake wanaofanya kazi hii bila kulipwa na yeyote. Invisible tafadhali sikiliza message yangu nimekuachia kwenye simu yako.

  Asante, na naomba tuendelee kumkoma Nyani giladi hapa hapa JF.
   
 2. Insurgent

  Insurgent JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2007
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 469
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Majuto Mjukuu...
   
 3. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 4. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  una hakika gani kama ni mwanamke?

  taratibu mkuu
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyo Kikwete sio mwanachama hapa JF ukitaka kumuomba msamaha mpigie simu, mtumie email, barua au njia nyingine ili apate huo "msamaha"

  Halafu unaomba msamaha au unatoa kejeli? picha hakuna na unang'ang'ania unazo, kama unazo ushapewa rukhsa mwaga hapa...

  Nilisema mapema Watson is right....
   
 6. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2007
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Umesamehewa Mwafrika, ingawa niliambulia X pamoja na kukaa muda mrefu nikisubiri
   
 7. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #7
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  That is great mwafrika wa kike, japokuwa wengine hatukuona hizi picha. I am so pleased with your words. Huo ndio utanzania, umeonyesha njia, Tuendelee na kazi, ile ya kutafakari!
   
 8. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #8
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hapana bwana,NO way!
   
 9. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Huyu anategea kupata kazi ya kudizaini website ya Ikulu na serikali sasa anajulikana kama ni frequent member humu lakini for unknown reason naona pamoja na kumkiss Mwanakijiji's ass lakini Mwanakijiji jana kamruka sasa kilichobaki anajaribu kusalvage whats remained...shame really...this Dude was in LOVE na MWANAKIJIJI sometimes back na ushahidi huu


  [​IMG]
   
 10. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #10
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mwafrika wa kike, wewe umeshatekeleza wajibu wako, wasiotaka haya wabaki na kinyongo chao, wanaweza pia wakameza... By the way, you just showed your civilisation, you would have just kept quite as many do! Lakini wapo watakaokubeza, nawe wabeze. Otherwise, endelea kumkoma nyani hapa, tayari wengine tume-miss mchango wako in the last 24h that we didnt see u here!
   
 11. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2007
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  barua kwa mh. kikwete unaweza kupost hapa
  "naombamsamahamheshimiwakikwete.co.tz"

  Zaidi ni vema ulivyojirudi
   
 13. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #13
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  I am afraid, the thread could be worthier than your "paste!"
   
 14. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kelewiiikelewiii, yesu na maria....!!
   
 15. S

  Samvulachole JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2007
  Joined: Oct 22, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 16. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..nimekumbuka lamu ghafla!hasa enzi zile chakachaka lilipovuma!
   
 17. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2007
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Tangu nijiunge na hii JamboForums, sijakutana na thread niliyoshindwa kuelewa mantiki yake kama hiyo mnayodai ya kashfa ya ngono ya JK ambayo watu wamefanyamo mambo ya matusi makubwa kuliko wanayemtuhumu. Sijui ndio kumkoma nani wapi sijui! Upumbavu mkubwa, sijapata kuona, mnisamehe tu kwa maneno haya lakini hakika nimeudhika.
   
 18. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hapo ^^ binafsi nakuelewa !
   
 19. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..usiumize kichwa kwa issue ile iliyopita!

  ..yawezekana kulikuwa na pepo mbaya angani!
   
 20. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2007
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine bwana, bure ghali!!!!.Mmesema haya ni mapambano ya kifikra, kumbe watu wenyewe fikra zenu zipo kwenye crisis.
   
Loading...