Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Huu ndio Ushauri niliotoa ukapuuzwa na kuambiwa nina mawazo ya kitoto! Nenda page 16 ya majadiliano
Mwafrika wa Kike,
Kama wewe ni Mzalendo halisi wa nchi yetu hii, ambaye unaitakia mema nchi hii,,, think Again, and then think Again, once you finish to think think again, Try to convience yourself... kwamba utakuwa umefanya kwa masilahi ya nani?
I assure you the moment unaweka huo upuuzi hapa,,, kama mzalendo halisi utaanza kujuta muda huo huo... mimi sio mtu wa kupiga ramli but kwa hekima mwenyezi mungu alizonipa hakika hili nina hakika nalo utajuta!!!
Fuatilia tu washabiki wako... but this is simply nonsense; simply kama rais ni symbol ya taifa, akitukanwa nimetukanwa na mimi pia! Never compare president na mwenyekiti wa Chama!