Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Ad10941813St1Sz2207Sq106445558V0Id2.png
nakusubilia pale ujue.....
 
Huna lolote!!
Mbinu za kuona tupu za watu tu
 
Habari zenu mabibi na mabwana,hivi kunyolewa makwapa na sehemu za siri saloon kunamaanisha nini,ni uvivu wa baadhi ya watu kujishughulikia mwenyewe.Je ni ubusy uliokithiri unaosababishwa na majukumu ya kila siku, au ni ukuaji wa technologia au utandawazi.

Nawatakia asubui njema wapendwa.
 
majibu yote ni sawa..inategemea mtu na mtu..
 
Kwapa sio sehemu ya siri? Hivi huwa ni wapi kwenye mwili ambapo ni/sio siri??
 
sidhani kama kuna salon za aina hiyo hapa tanzania. kama unaongelea majuu, huko haituhusu ila kwa bongo hii uanze kushika private parts za mtu mzima ambaye wala sio mke/mme wako, how come?
 
Zipo sana salon hizo hapa bongo.unanyolewa hadi vuzi..kinena kinakuwa kipara ngoto songa ugali tulee
 
Back
Top Bottom