Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Rafiki yangu wa
karibu kanihabarisha kuwa "mamaaa" yaani my wife wake wki 3 zilizopita
alienda kupata huduma za kawaida Saloon kubwa na ya kisasa ya kina mama
katikati ya jiji. Baada ya hapo akaambiwa kuwa kulikuwa na huduma ya
ziada.

Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele
zote zinatoka na kukufanya "kwa bibi" kuwe kipara kabisa.

Pia akanihabarisha kuwa mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele
zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya
wembe,nilibaki najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.

Wadau hii imekaaje.

kwa mwendo huu mtu wa namna hii atajifulia nguo? this is not true, na kama kweli basi yesu naomba urudi mapema.
 
Siku hizi faragha za sehemu nyeti hakuna kabisa...wanaadamu hatuna tofauti na wanyama wa porini.......unaanzaje kuonyesha tupu yako kwa mtu ambaye hana mamlaka na tupu yako....ni ngumu kuamini lakini yote hutokea kwa mlango wa utandawazi...nyuso za watu zimekosa aibu ya kibinadamu tunatenda ambayo hata wanyama wanatushangaa....kwani sijawahi kusikia wanyama wamegeuzana....bali ni binaadamu pekee ambao ndio wanaotajwa kuwa ni viumbe wenye ufahamu........siku hizi kumkuta amepiga akiwa mtupu limekuwa si jambo la kushangaza tena kwani hata muhusika anaonekana kufurahia jambo hilo...na ukijaribu kumwambia utaambiwa unaingilia uhuru wake.....basi unabaki kuyaangalia kwa masikitiko.......DUNIA HADAA NA ULIMWENGU SHUJAA........

Ni ngumu kuamini but thats the reality inafanyika tena kwenye jamii yetu hii hii
 
Asante Kelly;

Nilichokuwa najiuliza ni vipi Mamaa alienda na kujianika 100% ili aweze kupewa hii huduma . . . .

Na nimesoma mahli humu JF kwamba siku hizi Lez ni kama kawa . . .

Au unaanzaje anzaje?
Imagine situation ambapo baadhi ya salon hizi zinazotoa huduma hizo wahudumu wake ni wa kiume!
 
Mi nina matatizo ya misuli sasa nikaongea na rafiki zangu wakaniambia niende masaji ila kila nikiwaza naona moyo mzito sijaenda huko kwanza siamini kama msuli itapona naona kama ni fasheni ama inaweza ikawa dawa ya mda mfupi. Labda kuwe na dawa sio hizo za kimapenzimapenzi
 
kwa mwendo huu mtu wa namna hii atajifulia nguo? this is not true, na kama kweli basi yesu naomba urudi mapema.

I think its true mana hata juzi mtu mtu alikua akinipa wazo la kuanzisha hio kitu
 
Back
Top Bottom