Dar siku hizi saloon ni vituko, hizi barber shop unakuta kuna wadada wazuri na wenye mvuto hatari, wao ni kukuosha na kurekebisha kichwa mambo ya superblack na pia facial scrub. Nimewahi enda kunyoa nywele za kichwani na kutestisha zali la facial scrub maana nilichoka kusimuliwa, nilifika saloon moja hapo banana ukongo (Dar), mule ndani kwenye pubs nyingi. Nilipewa facial scrub moja ya hatari huku shati langu likiwa limevuliwa nusu alafu mdada kavaa kivazi kifupi cha shahiri na kimemkumbatia kwa chini kinaonyesha kwa mbali, ni hatari tupu, tuko wawili tu. Yaani ananiletea mtindi mpaka usoni na sauti yake nyororo, alafu vile viti vyao vya kama umelala nyuzi 120 hivi, yeye akaweka mguu wake huku na huku kama anaendesha farasi. Chumba chenyewe cha sindano kipo isolated na kina mandari fulani hivi. Mi niliuchuna tuu mpaka akamaliza, karibu dk 20, ila kichwa changu cha chini kidogo kilichanganyikiwa!! Ila niliinjoi.
Kwa hiyo hata kunyoa nywele za nyeti, ni vikorombwezo tuu vya kuvuta wateja, madume yatafata wanawake, na wanawake watafata madume.
Msije shindwa kushangaa tu pale mapicha yenu yakakutwa kwenye magazeti ya udaku...! Na kichwa cha habari kikuuubwaaa...!
"Superman with 2inch wand"
wasiwasi wangu ni pale huduma hiyo itapotolewa kwa mteja baba na mhudumu baba,wateja wengine wana nywele hadi makalioni sasa mhudumu anapotaka kumuhudumia hapo katikati ya makalio itakuwaje?Jamani hacheni kuiga uzungu mtatuletea sodoma na gomola!
Nioneshe hiyo Saloon niende.....
Zipo wapi hizi saloon, ili niende kupata hio huduma!!
Mhh hatari hii
Vp kwa mfano ukizidiwa unaweza patiwa huduma ya kuosha rungu?
sidhani kama kuna salon za aina hiyo hapa tanzania. kama unaongelea majuu, huko haituhusu ila kwa bongo hii uanze kushika private parts za mtu mzima ambaye wala sio mke/mme wako, how come?
Huna lolote!!
Mbinu za kuona tupu za watu tu
mwe kazi kweli kweli.........
Lakini salama.....lol
MJ my dear hata akina baba pia wapo wanaofanya hii brazilian wax ila sijui about huko chini kwao ila kuna wengine wanafanya wax kutoa nywele za usoni, au nywele za kifuani....hii kazi ina depend hata mwanamke anaweza kummfanyia mwanamke mwenzake...kama nilivyosema before its business wale watu wapo kazini na wala hakuna matamanio au sijui kukupapasa na vitu kama hivyo....so far i will recommend you to go and try ila kama ni mara yako ya kwanaza be prepared inauma sana na wala siyo kidogo.....take painkiller kabla hujaenda.....
Wanaomnyoa jinsia ipi? isijekuwa anakabidhi fisi bucha
Uvivu huu utatumaliza walahi, mie niende kutanua miguu yangu kwa mtu kama vile najifungua aka? Halafu sehemu yenyewe ilivyo nyeti nikiambukizwa magonjwa kwa mikono na nyenzo zake je? Shauri yenu